Baada ya Master J kumkejeli Ali Kiba kuwa ni mbana pua, Ali Kiba ajibu mapigo

Angekosolewa mtoto wa Tandale wala asingeangaika kujibu kabisa, kwasababu huwa ni sehemu ya maisha yake kimziki. Ila kwa kuwa kakosolewa mtu ambaye hapaswi kukosolewa, mfalme wa mziki wa bongo fleva, basi jamaa ameona Master J kamkosea heshima na kaamua amtukane kimtindo kabisa 🀣🀣🀣.
 
Kumuita master jay ni upinde tayari kamchafua lakini pia imemshusha Ali kiba kwa level mbaya sana. Mitandaoni atapigiwa heko, ila kwa watu wenye ufahamu anaonekana amekosa emotional intelligence
Sasa jiulize waliompa u-ambassador Stanbic ni nani haswa? Na msimamo (policy) wao juu ya kunyanyapaa watu wa upinde ukoje? Ukiwa artist kuwa mwangalifu na unachoandika! Sitashangaa akiondelewa u-ambassador!
 
Naona huko X wameanza kumripoti kwa Stanbic bank kama balozi waoπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bila shaka hunjui MasterJ vizuri.
Ni kweli ni mropokaji lkn hana wivu wowote.
Jamaa amenyooka sana.
Alichokosa ni ile hekima but jamaa ni mzungu sana tu.

Watuvwa Tangagiza na wapenda unafiki kamwe hawawezi kumwelewa wala kumpenda MasterJ
 
Aliyehaso kwa jasho na damu kujenga brand ni Diamond tu.
Sure.
Tena juzi Diamond alimwambia MaaterJ face to face kuwa huwa ukosoaji wako japo ni mchungu lkn nauchukulia ktk positive way
 

Hakuna sehemu nimesema master j alikuwa sahihi ila aliongea kitu sahihi katika namna ambayo si nzuri..

Kingine mkuu kuwa juu kimuziki ni package kubwa kwa hiyo kuimba Ali Kiba anajua lakini hana vocal supremacy waliyonayo wasanii wengi tu ambao hawana level ya mafanikio yake.

Nikikuuliza Ali Kiba unaweza muweka kwenye Top 5 ya best vocalist wa bongo flava au watunzi wakali zaidi, ??

Jibu ni HAPANA, kwa hiyo master hakukosea sana kumuweka Ali Kiba kwenye Category za wahindi na waarabu maana sauti yake ina mahadhi hayo. Huwezi muweka Bien na Ali vocally kwenye category moja japo Ali ana mafanikio kumzidi Bien
 
Sasa jiulize waliompa u-ambassador Stanbic ni nani haswa? Na msimamo (policy) wao juu ya kunyanyapaa watu wa upinde ukoje? Ukiwa artist kuwa mwangalifu na unachoandika! Sitashangaa akiondelewa u-ambassador!
Mkuu hayo unayoyaongea kwa wasanii wa bongo ni ndoto kwa sababu wengi hawana hiyo level ya professionalism na bongo hatupo sensitive sana na vitu vingi. Ndio maana Diamond anafanya vitu vingi na bado anapewa endorsements nyingi. Angekuwa nchi za magharibi angeshakuwa cancelled
 
Huyu jamaa sijui huwa shida yake ni nini, huwa anaimba ila wala hayuko comfortable ndio maana kuna baadhi ya key hawezi kupanda... Sauti yake ni kama huwa inaanzia kwenye koo kwahiyo inamfanya atumie nguvu nyingi kwenye kuicontrol.

Inabidi awaprove watu wrong kwa hilo... Mimi ni fun wake ila akiimbaga huwa sipendi apande keys kwasababu huwa naofia asije akawika bure.
 
Alikuwa kashautwika si unajua lugha za kilevi zile? Haki ya mama Ali Kiba angekuwepo pangezuka vita yaani kwa zile kejeli Unaweza ukamchapa kofi aisee!
 

Toka Ali Kiba anaanza muziki walimuita mbana pua kama wasanii wengi tu wa bongo flava mwanzoni..
Japo master jay hakutakiwa kusema hayo lakini pia Ali Kiba amedhihirisha alivyo mweupe kichwani. Kwa msanii ambaye watu wanaona anajiheshimu, kutoa majibu ya kiswahili si sawa

Au wewe unaona sawa kumuhusianisha master jay na ushoga. Kwa nini asingemjibu kimuziki kama Master alivyofanya
 
Haihitaji Bongo yaani pale ni simu kuyoka London ku-terminate contract! Ali Kiba ana shida hata alivyoondoka Trace Zanzibar ni scandalous!
 
Kiba hayupo comfortable kwenye kuimba, watu wote ambao wako na idea na muziki wanaelewa hivyo, keys ameziimba mwenyewe huko studio ila akija live hawezi kuzipanda na akipanda lazima awikeπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… (hii sio kwa ubaya ila ndio uhalisia)

Wanatakiwa wakubali na wajifanyie improvement kwenye hilo eneo ili wawe Bora zaidi.

Mtu ambae huwa anajitahidi kwenye live band ni Mbosso, katika hao wasanii wa bongo fleva ambao wanasikika mara kwa mara.
 
Ni kweli Ali Kiba ni mbana pua.

Ni kweli Ali Kiba hawezi kufanya aina ya muziki anaofanya Bien.

Ni kweli kabisa Bien kamwacha Ali Kiba kwenye ubobevu wa Multiple Music Genres.

Ni kweli wasanii wengi wa Bongo hawawezi kufanya Live Performance and Theatre Music.
 
Huyu ni kawaida yake kutoa maneno ya shombo na dharau juu . Kama ameona Ali haimbi vzr basi angetumia lugha ya heshima na siyo kama hivyo alivyosema. Amezidi muache apate za uso babu mzima hana hekima
 
Angeshauri hivyo kama wewe sidhani kama angetukanwa. Anazeeka vby huyu mzee .
 

Kwasasa sio master ni Upinde Jay
Amejibiwa kama alivyojibu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sio sawa Ali Kiba kumuita Master Jay ni shoga kisa kamkosoa. Hakuna tusi kwa mwanaume ni la kudhalilisha kama kuitwa shoga.
Yeye nae kwanini amzungumzie mwanaume mwenzake? Yeye ni nani hadi awe anatoa confirmation za mambo? Aimbe yeye basi. Namuunga mkono Ali, kumzungumzia mwanaume mwenzako ni ushoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…