Baada ya Master J kumkejeli Ali Kiba kuwa ni mbana pua, Ali Kiba ajibu mapigo

Ali Kiba ni mdau wa muda mrefu wa upinde, ni watu hawajamwandika vizuri akatulia.
 
Hajui kazi kwani yeye ndio final sayer akisema jambo ndio linakuwa hivyo? Mtu kapambana kivyake katoboa halafu mtu anakuja kuleta nyege kwenye mafanikio ya mtu. Huyo anawashwa
 

Asilimia kubwa ya wasanii anaowakataa BSS ndo hao wanakuja kufanya vizuri mfano harmonize , K2GA , N.K


SO MIMI NACHOONA ANAJARIBU KU-SPREAD NEGATIVE ENERGY SO ALIKIBA AMEMWAMBIA UKWELI THE GUY ANAZEEKA ILA AKILI INAZIDI KUWA KAMA YA MTOTO MDOGO ANAYEJIFUNZA KUONGEA
 
BSS yenyewe utumbo mtupu tu.
 

Utakuaje Mwanaharakati wa muziki wakati Una akili kiduchu na unaropoka .

Yaani mropokaji Kama huyo unamuita Activist ?

Kama Una namba yake mwambie aache wivu na chuki awaache vijana watengeneze hela .

Kila msanii ana ladha yake katika huu muziki.
 
Bila shaka hunjui MasterJ vizuri.
Ni kweli ni mropokaji lkn hana wivu wowote.
Jamaa amenyooka sana.
Alichokosa ni ile hekima but jamaa ni mzungu sana tu.

Watuvwa Tangagiza na wapenda unafiki kamwe hawawezi kumwelewa wala kumpenda MasterJ

Mimi siwakubali wasanii watanzania wote Ila huyo master J ni mtu mwenye akili ndogo .

Kuna level ukifika unabidi kuwa smart na kuchuja unachoongea
 
Yote kwa yote huwezi kukua kwa kusifiwa sifiwa tu 🤔ni muhimu wawepo wakosoaji! Ndio maana Ata Kila ofisi Kubwa ina "auditor"

Nadhani kazi moja wa auditor "ni kuangalia mapungufu na kutoa report " ili kujua nini cha improve
 
Yote kwa yote huwezi kukua kwa kusifiwa sifiwa tu 🤔ni muhimu wawepo wakosoaji! Ndio maana Ata Kila ofisi Kubwa ina "auditor"

Nadhani kazi moja wa auditor "ni kuangalia mapungufu na kutoa report " ili kujua nini cha improve
Maisha yanaendeshwa na kanuni mfano hakuna mtu anaruhusiwa kukosoa ilimradi hii ni kanuni .
 
Shida ni kwamba kuna wakati ukifika wakati kama huu inabidi utumie busara ukiwa mtu mzima usiropoke maana watoto watakushushia heshima.
Master watoto wanamdhalilisha sasa mtandaon
 
Sasa jiulize waliompa u-ambassador Stanbic ni nani haswa? Na msimamo (policy) wao juu ya kunyanyapaa watu wa upinde ukoje? Ukiwa artist kuwa mwangalifu na unachoandika! Sitashangaa akiondelewa u-ambassador!
Watu wengi wana comment tuu, hawaeleweli haya mambo ya mikataba ya Taasisi za mabeberu, unakuta shareholders wengi upinde, Kibarua kinaota Nyasi ye Kiba Angejibu kwa matendo tuu, andaaa shoo, piga sana tizi, njoo perform live piga shoo Kali watu watajua tu ukweli ni upi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…