Baada ya Mdahalo: Nani anazuia upatikanaji wa Katiba Mpya?

Wasira ni mtu mzuri kwa hoja kinachomgharim Wasira ni kujaribu kuinusuru CCM ambayo imeanza safari ya kuonja mauti.
 
Wewe acha uongo kila mtu ameona jinsi Wassira alivyo mwamba na ameonesha uwezo kuzidi hao UKAWA!

Kanuni inayoruhusu bunge na wajumbe wa katiba kurekebisha ,kuongeza ,kuondoa jambo lolote kwenye Rasimu unajua kipo?
 
Wengi wanaropoka tu kuwa CCM ndo inakwamisha mchakato wa katiba lakini hawasemi ni kwa namna gani ccm inakwamisha. Ila kwa ukawa tunajua kutokana na kitendo chao cha kutorudi bungeni
 
Baada ya mdahalo uliokusanya Itv juu ya wananchi kujua nani anataka kuwazuia watanzania kupata katiba Mpya.

Je sasa unaweza kutoa jibu ulilopata?

Karibu....

Hivi CCm kwa nn wasituachee...Na Tanganyikaaa yetu...wamekula vya kutoshaa....
 
Wewe acha uongo kila mtu ameona jinsi Wassira alivyo mwamba na ameonesha uwezo kuzidi hao UKAWA!

Kanuni inayoruhusu bunge na wajumbe wa katiba kurekebisha ,kuongeza ,kuondoa jambo lolote kwenye Rasimu unajua kipo?
Kweli kabisa Mkuu. Wassira kawaumbua sana na hata ITV wameweka bayana kuwa UKAWA ndio wanaokwamisha mchakato huu na wametakiwa kurudi bungeni bila ya masharti
 
Lissu leo kawatukana Masheikh na Mapadre na kuwaita kuwa ni makada wa CCM.
 
Katiba making process is beyond salvage. Katiba process is dead in the water.
 
Mkuu, pamoja na kuwa wao walikuwa wengi, walishindwa kabisa kupangua hoja za Wassira. Wassira alikuwa anajibu hoja kwa ushahidi. Aliwaua kabisa pale aliposema kuwa bila UKAWA, akidi inapatikana na katoa takwimu za wabunge waliobaki kwa bara na visiwani. Wao walibaki na bla blaaaaa tu
 
Hakika mawazo haya huwa yanatolewa na wachaga tu. poleni sana. CCM ni nambari one. Wengine mnaiga tu na mtaisoma namba

Chuki zako kwa Wachaga hazitakusaidia chochote sana sana unazidi kuharibu!Walishatangulia hata utambike wapo juu kama muashoki!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mkuu ingekuwa na tija kama Mods wangeiweka kama dodoso ili ipigiwe kura... Crystal clear kuwa CCM ndo wanahujumu mchakato wa Katiba mpya na kuwa hawana nia wala dhamira ya kweli ya kuwapatia wananchi katiba mpya itakayojibu hoja nyingi zikiwemo za uvunaji wa Rasilimali za nchi ...
 
Chuki zako kwa Wachaga hazitakusaidia chochote sana sana unazidi kuharibu!Walishatangulia hata utambike wapo juu kama muashoki!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Kutangulia si hoja mkuu. Wangapi wanatangulia na mwisho wa siku wanabaki nyuma? Cha muhimu ni fursa. Usishangae baadae wamachinga ndio wakawa wapo juu zaidi kuliko wachagga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…