Msajiliccm hawezi kuigusa CCM hata polepole akichukua mke wa lijuakali alale kwake week kisha wapige nae mikutano hada saa nane usikuHebu Fikiria yule kiongozi wa umoja wa vijana wa CCM akihimiza kuwapiga wapinzani. Lakini kwenye hayo huwezi kumuona msajili akisema kitu.
Au pengine anawagonganisha wapinzani ili waanze kushindana na kuchukiana halafu wawe dhaifu na kisha apate ushindi kirahisi.Siamini hiyo michezo ya msajili, hizo ni mbinu zile zile alizosema Mzee Tupatupa jana, wanajaribu kukikuza hicho chama kionekane threat, hakuna lolote hapo.
Membe hawezi kuwa threat kwa CCM hata siku moja, Lissu is.
Mabadiliko ya kweli yaanzie ofisi ya msajili. Kama siyo kuondoa waliopo ni kibanda hicho kuchomwa!
Sijawahi kuwaamini act, hakuna chama pale bali wachumia tumbo, futilia mbali hyo taka taka. Japo mfutaji mwenyewe ni dhalimu.
Si ndivyo tulivyo kariri kila jambo ni CCM!So msajili ni ccm.
Malengo ni kufanya wakuda kama wewe hamtoboi.Huu ni ubinafsi uliopitiliza! watu kama nyinyi hamueleweki mna malengo gani.
Na waruhusu Tume huru ya uchaguzi kama haogopiMagufuli hana anachoogopa na hata waungane wote CCM awamu hii wako vizuri
Si ndivyo tulivyo kariri kila jambo ni CCM!
Magufuli hana anachoogopa na hata waungane wote CCM awamu hii wako vizuri
Kwangu mimi wako vizuriCcm wako vizuri au ni madaraka ya urais yanatumika vibaya?
Kwangu mimi wako vizuri
Tengenezeni muungano haraka CCM haiwawazii memaWhy wanahaha?
Wakina nani?Sasa mbona mnahangaika nayo? Mbona inawanyima usingizi?
ACT na CCM wanajuana .Wanatuchezea tu.ACT imewashika CCM pabaya!
Msajili anachokitafuta atakipata Soon tena itakuwa Zaidi ya Mudhihir Mudhihir.Kosa hakuna na halipo lakini CCM wamemwamuru Msajiliccm aunde abuni atengeneze kosa feki awabambikie ACT wapate kuwakomoa kwa kuwafuta tu, CCM ya sasa ni waonevu watupu