USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Mfumo wa Arrow 1,2,3 na Iron dome kushindwa kuzuia makombora ya Ballistic ya Iran kwenye anga la Israel na mwishowe baadhi kupenya na kufikia ardhi ya Israel kamati ya vita ya IDF ilikubalina na washirika wake kufunga THAAD ndio kujibu mashambulizi makubwa ndani ya Iran.
Jana Rais Joe Biden ametuma mfumo wa THAAD nchi Israel ukiwa na wanajeshi 100 wakuuuendesha , Tofauti na mifumo mingine ya kiulinzi THAAAD ndio komesha kwa kuzuia Ballistic ambazo zimeweza kusafiri kwa dk 400tu kutoka iran hadi Israel umbali wa km 1700 na kushindwa kuzuia na mifumo mingine.