Baada ya mfumo wa ulinzi wa THAAD kufungwa Israel ni bora raia wa iran kuhama nchi yao bila shuruti

Baada ya mfumo wa ulinzi wa THAAD kufungwa Israel ni bora raia wa iran kuhama nchi yao bila shuruti

Mpaka sasa Israeli anapigana na wanamgambo wa Hizbollah, Hamas na Houthis.

Mpaka sasa Israeli anapigana na Taifa lililowekewa vikwazo lukuki toka miaka ya 80 huko.

Israeli anapigana na maadui ambao wamefungwa mikono huku yeye akiwa free na kupokea kila kitu kutoka giants nations.

Hivi na Iran pia angekuwa free miaka yote hiyo leo ingekuwaje?, hivi kama wapalestina wangekuwa huru miaka yote hiyo wakawa na jeshi na silaha zao nini kingetokea mashariki ya kati pale?
 
Israel alidanganya sana wakristo ,ila ukichunguza ni mweupe sanq, hawa hamas na hezbollah ndio wa kupigana nao mwaka mzima kweli, huku kwa hezbollah ndio anaaibika kiasi hichi? Jata jeshi letu jwtz lingefanya kazi nzuri kushinda hawa kenge wa idf walio brainwash watu kupahaaitia movie na media zao kumbe kenge tu
ahaaa ahaaaa ahaaaa du punguza dharau aiseee
 
Mfumo wa Arrow 1,2,3 na Iron dome kushindwa kuzuia makombora ya Ballistic ya Iran kwenye anga la Israel na mwishowe baadhi kupenya na kufikia ardhi ya Israel kamati ya vita ya IDF ilikubalina na washirika wake kufunga THAAD ndio kujibu mashambulizi makubwa ndani ya Iran.

Jana Rais Joe Biden ametuma mfumo wa THAAD nchi Israel ukiwa na wanajeshi 100 wakuuuendesha , Tofauti na mifumo mingine ya kiulinzi THAAAD ndio komesha kwa kuzuia Ballistic ambazo zimeweza kusafiri kwa dk 400tu kutoka iran hadi Israel umbali wa km 1700 na kushindwa kuzuia na mifumo mingine.

USSR

Iran sio wafuasi wa Mange Kimambi
 
Hatutaki maswali ya asilimia ngapi tunachojua irone dome ilitengenezwa kwa ajili ya kuzuia local rocket za Hamas zinazotengenezwa Kwa mbolea hila kwa Hezbollah imebidi kuomba msaada wa THAAD ziongezwe maana zilishafungwa kitambo sn
Unadhani hizo rocket missiles 180 zilizorushwa na Iran kuelekea Israel,Kwa mfano zingerushwa kuelekea kwenye nchi ambayo Haina ulinzi wa Iron dome kama Tanzania,madhara yake yangekuwa kiasi gani?
 
Back
Top Bottom