mangichogo
JF-Expert Member
- Oct 30, 2023
- 837
- 1,482
Yale mambo niliyokuwa nayaona Gaza ya ambulance kukimbiza wagonjwa hosipitali na faster faster kuwekwa kwenye vitanda na kukimbizwa ndani kwa huduma ya kwanza huku michilizi ya damu ikitapakaa nimeyaona na Israeli yakitokea
Kweli kutesa ni kwa zamu
Kweli kutesa ni kwa zamu