kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,348
- 7,058
Israel piga hayo malofa ya Iran mpaka mapepo yawatokeee daadek
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla mulisema Irone Dom ndio mfumo bora duniani lakini jana hata ka-drones za hizbollah mfumo umeshindwa ata ku-detect hatimae munalizana huko kwa hukoMfumo wa Arrow 1,2,3 na Iron dome kushindwa kuzuia makombora ya Ballistic ya Iran kwenye anga la Israel na mwishowe baadhi kupenya na kufikia ardhi ya Israel kamati ya vita ya IDF ilikubalina na washirika wake kufunga THAAD ndio kujibu mashambulizi makubwa ndani ya Iran.
Jana Rais Joe Biden ametuma mfumo wa THAAD nchi Israel ukiwa na wanajeshi 100 wakuuuendesha , Tofauti na mifumo mingine ya kiulinzi THAAAD ndio komesha kwa kuzuia Ballistic ambazo zimeweza kusafiri kwa dk 400tu kutoka iran hadi Israel umbali wa km 1700 na kushindwa kuzuia na mifumo mingine.
USSR
Baada ya kuwaonea huruma hao israel maana hadi sasa yeye ndio anayeaibiks hadi marekani kuanza kumpelekea wanajeshi wamsaidie, hana ubavu wa kupigana na jeshi lolote alikuwa anaonea hamas kwa kuwa hana silaha, sasahivi kila siku wanauliwa tu lebanon, hadi sasahivi hatujui kama huyo mkuu wao wa majeshi kama yupo salama, lile pigo la jana kwenye kambi ya jeshi ni la kibabe sanaIsrael piga hayo malofa ya Iran mpaka mapepo yawatokeee daadek
Hujui Israel we mtoto... itapigwa bomu moja utaona vibarkashia vinawaruka juu! we subiriiBaada ya kuwaonea huruma hao israel maana hadi sasa yeye ndio anayeaibiks hadi marekani kuanza kumpelekea wanajeshi wamsaidie, hana ubavu wa kupigana na jeshi lolote alikuwa anaonea hamas kwa kuwa hana silaha, sasahivi kila siku wanauliwa tu lebanon, hadi sasahivi hatujui kama huyo mkuu wao wa majeshi kama yupo salama, lile pigo la jana kwenye kambi ya jeshi ni la kibabe sana
Hiyo inawatisha kondoo wa waisraeli tu.Mfumo wa Arrow 1,2,3 na Iron dome kushindwa kuzuia makombora ya Ballistic ya Iran kwenye anga la Israel na mwishowe baadhi kupenya na kufikia ardhi ya Israel kamati ya vita ya IDF ilikubalina na washirika wake kufunga THAAD ndio kujibu mashambulizi makubwa ndani ya Iran.
Jana Rais Joe Biden ametuma mfumo wa THAAD nchi Israel ukiwa na wanajeshi 100 wakuuuendesha , Tofauti na mifumo mingine ya kiulinzi THAAAD ndio komesha kwa kuzuia Ballistic ambazo zimeweza kusafiri kwa dk 400tu kutoka iran hadi Israel umbali wa km 1700 na kushindwa kuzuia na mifumo mingine.
USSR
Sio movie hii mzee ,acha mkubwa avuliwe nguo huko kayataka, ni mwendo wa kutembezewa kichapo tu sasa hivi watu wanatandika hadi kambi za jeshi kiulaini tuHujui Israel we mtoto... itapigwa bomu moja utaona vibarkashia vinawaruka juu! we subirii
Ahaaa so umewaletea wafatilia yanayoendelea dunianiUsomwe nini wakati jana wamepigwa ndani ya kambi yao?
Ahaaa so umewaletea wafatilia yanayoendelea duniani
Mfumo wa Arrow 1,2,3 na Iron dome kushindwa kuzuia makombora ya Ballistic ya Iran kwenye anga la Israel na mwishowe baadhi kupenya na kufikia ardhi ya Israel kamati ya vita ya IDF ilikubalina na washirika wake kufunga THAAD ndio kujibu mashambulizi makubwa ndani ya Iran.
Jana Rais Joe Biden ametuma mfumo wa THAAD nchi Israel ukiwa na wanajeshi 100 wakuuuendesha , Tofauti na mifumo mingine ya kiulinzi THAAAD ndio komesha kwa kuzuia Ballistic ambazo zimeweza kusafiri kwa dk 400tu kutoka iran hadi Israel umbali wa km 1700 na kushindwa kuzuia na mifumo mingine.
USSR
Wewe usiyevaa kobazi na unaejua kingereza hayo maneno niliyozungushia hapo maana yake nini?
View attachment 3124606
Heee hivi ni vituko sasa ,,irone dome si inalindwa na damu ya yesu jmn mbona mnatuchanganyaMfumo wa Arrow 1,2,3 na Iron dome kushindwa kuzuia makombora ya Ballistic ya Iran kwenye anga la Israel na mwishowe baadhi kupenya na kufikia ardhi ya Israel kamati ya vita ya IDF ilikubalina na washirika wake kufunga THAAD ndio kujibu mashambulizi makubwa ndani ya Iran.
Jana Rais Joe Biden ametuma mfumo wa THAAD nchi Israel ukiwa na wanajeshi 100 wakuuuendesha , Tofauti na mifumo mingine ya kiulinzi THAAAD ndio komesha kwa kuzuia Ballistic ambazo zimeweza kusafiri kwa dk 400tu kutoka iran hadi Israel umbali wa km 1700 na kushindwa kuzuia na mifumo mingine.
USSR
Shaloom kondoo wa bwana ..huo mfumo ni wa ulinzi yaani wakujilinda sio wa kushambulia ,,Israel piga hayo malofa ya Iran mpaka mapepo yawatokeee daadek
Kumbe zile kombora za Iran zilitumia zaidi ya dakika 400 kufika Israel!? Ndio nimejua hapa. Asante kwa taarifa mkuu.Mfumo wa Arrow 1,2,3 na Iron dome kushindwa kuzuia makombora ya Ballistic ya Iran kwenye anga la Israel na mwishowe baadhi kupenya na kufikia ardhi ya Israel kamati ya vita ya IDF ilikubalina na washirika wake kufunga THAAD ndio kujibu mashambulizi makubwa ndani ya Iran.
Jana Rais Joe Biden ametuma mfumo wa THAAD nchi Israel ukiwa na wanajeshi 100 wakuuuendesha , Tofauti na mifumo mingine ya kiulinzi THAAAD ndio komesha kwa kuzuia Ballistic ambazo zimeweza kusafiri kwa dk 400tu kutoka iran hadi Israel umbali wa km 1700 na kushindwa kuzuia na mifumo mingine.
USSR
Mbona kama umepanic, mjukuu wa Nasrallah..Israel alidanganya sana wakristo ,ila ukichunguza ni mweupe sanq, hawa hamas na hezbollah ndio wa kupigana nao mwaka mzima kweli, huku kwa hezbollah ndio anaaibika kiasi hichi? Jata jeshi letu jwtz lingefanya kazi nzuri kushinda hawa kenge wa idf walio brainwash watu kupitia movie na media zao kumbe kenge tu
Waliopanic wanaomba msaada marekani hawajui la kufanya hukoMbona kama umepanic, mjukuu wa Nasrallah..