Baada ya mfumo wa ulinzi wa THAAD kufungwa Israel ni bora raia wa iran kuhama nchi yao bila shuruti

Kabla mulisema Irone Dom ndio mfumo bora duniani lakini jana hata ka-drones za hizbollah mfumo umeshindwa ata ku-detect hatimae munalizana huko kwa huko
 
Israel piga hayo malofa ya Iran mpaka mapepo yawatokeee daadek
Baada ya kuwaonea huruma hao israel maana hadi sasa yeye ndio anayeaibiks hadi marekani kuanza kumpelekea wanajeshi wamsaidie, hana ubavu wa kupigana na jeshi lolote alikuwa anaonea hamas kwa kuwa hana silaha, sasahivi kila siku wanauliwa tu lebanon, hadi sasahivi hatujui kama huyo mkuu wao wa majeshi kama yupo salama, lile pigo la jana kwenye kambi ya jeshi ni la kibabe sana
 
Hujui Israel we mtoto... itapigwa bomu moja utaona vibarkashia vinawaruka juu! we subirii
 
Hiyo inawatisha kondoo wa waisraeli tu.

Imefungwa na wamebamizwa na kikundi kidogo tu cha wanamgambo, au hulielewi hilo? Jionee:


View: https://www.youtube.com/live/TkS0dKXQqDY?si=M36vzK_-RlyVDE11
 
THAAD INAWEZA KUZUIA HYPERSONIC MISSILES?
mjue mnaumwa nyie
 
Heee hivi ni vituko sasa ,,irone dome si inalindwa na damu ya yesu jmn mbona mnatuchanganya
 
Kumbe zile kombora za Iran zilitumia zaidi ya dakika 400 kufika Israel!? Ndio nimejua hapa. Asante kwa taarifa mkuu.
 
Kila mfumo unaofungwa pale Israel Ayatollah anaudukua na kuufanya u collapse wakati wa shambulio. Muajemi ashashindikana. isingekuwa hizi story za Israel ni taifa teule. Nina imani watu wengi wasingeendelea kutokwa povu kuitetea nchi inayoshidwa kila kitu na Iran yenye vikwazo lukuki.

Israel haina sifa tunazoambiwa makanisani na kwenye media zao. Nyingi ni story tu ambazo hazina ukweli wowote.
 

Attachments

  • Screenshot_20241014-110407.jpg
    372.6 KB · Views: 1
Mbona kama umepanic, mjukuu wa Nasrallah..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…