Baada ya mfumo wa ulinzi wa THAAD kufungwa Israel ni bora raia wa iran kuhama nchi yao bila shuruti

Tukiwaambia hamna teknolojia mnabisha !? iron dome imefeli , jana hata ving'ora zimefeli.

Yaani nyie sawa wa TZ tu , kuomba kila siku si wafunge wananchi wanaishi hapo . 😀 😀
Hivi unaposema Iron dome imefeli,umewahi ambiwa inauwezo wa kuzuia makombora kwa asilimia ngapi?
 
Hivi unaposema Iron dome imefeli,umewahi ambiwa inauwezo wa kuzuia makombora kwa asilimia ngapi?
Hatutaki maswali ya asilimia ngapi tunachojua irone dome ilitengenezwa kwa ajili ya kuzuia local rocket za Hamas zinazotengenezwa Kwa mbolea hila kwa Hezbollah imebidi kuomba msaada wa THAAD ziongezwe maana zilishafungwa kitambo sn
 
Hzo USA air defense sindio zimefungwa kulinda Saudi Arabia lakini wa houth wakawa wanalipua visima hazifanyi kitu
 
mbwa mkali usikatize wahuni tunapita IronDome kiboko tukaifumua na kobazi moja na hata hiyo THAAD itafil#wa tu na makobazi,subirini muone
 

Lile la bei ya petroli ulimalizana nalo?
 
Umedanganywa na ukadanganyika, huo mfumo ulikuwepo kwa mazayuni siku nyingi. Hakuna silaha ya kimarekani asiyokuwa nayo zayuni. ukabamizwa tarehe 1 na Wairan.

Sasa wanaufunga mwengine, wameshapewa onyo tena, wameambiwa sasa watabamizwa na wamarekani wanaokwenda kusaidia kuuendesha huo mtambo.

Ushahidi wa kubamizwa huu hapa:


View: https://youtu.be/3NMFluiw1GM?si=CA24Vow8nrI-NY2a
 
Kawaongopee wamgambo wenzako hiyo silaha ya kujilinda sio kushambulia kwa kukusaidia hizo THAAD Russia anazibomoa kila siku kwa Kinzal Hypasonic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…