Baada ya mfumo wa ulinzi wa THAAD kufungwa Israel ni bora raia wa iran kuhama nchi yao bila shuruti

Mpaka sasa Israeli anapigana na wanamgambo wa Hizbollah, Hamas na Houthis.

Mpaka sasa Israeli anapigana na Taifa lililowekewa vikwazo lukuki toka miaka ya 80 huko.

Israeli anapigana na maadui ambao wamefungwa mikono huku yeye akiwa free na kupokea kila kitu kutoka giants nations.

Hivi na Iran pia angekuwa free miaka yote hiyo leo ingekuwaje?, hivi kama wapalestina wangekuwa huru miaka yote hiyo wakawa na jeshi na silaha zao nini kingetokea mashariki ya kati pale?
 
ahaaa ahaaaa ahaaaa du punguza dharau aiseee
 
Iran sio wafuasi wa Mange Kimambi
 
Hatutaki maswali ya asilimia ngapi tunachojua irone dome ilitengenezwa kwa ajili ya kuzuia local rocket za Hamas zinazotengenezwa Kwa mbolea hila kwa Hezbollah imebidi kuomba msaada wa THAAD ziongezwe maana zilishafungwa kitambo sn
Unadhani hizo rocket missiles 180 zilizorushwa na Iran kuelekea Israel,Kwa mfano zingerushwa kuelekea kwenye nchi ambayo Haina ulinzi wa Iron dome kama Tanzania,madhara yake yangekuwa kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…