Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Angefika mbali ila sasa mzigo wa Diddy pamoja na umaarufu ulimpofusha macho asiweze kuona mbeleDiddy ana mzigo balaa lakini naamini kama huyu manzi angebaki kwa Leslie angekuwa kafika mbali sana kimuziki. Les is a genius na alikuwa anampatia sanaaaaa Cassie..
Mbona ilikuwa headline sana mzee. Les alikuja kukiri mwishoni kama alikuwa anampenda sana manzi. Alikuwa anahojiwa na vyombo mbalimbali, kiufupi jamaa alivurugika fulani hivi....Aisee kumbe alimzingua ryan. . kweli karma sio kitu cha mchezo
Aisee kweli alimtoa kwenye "maana ryan mnamo mwaka 2008s alikuwa yupo on top sana ... mara akazimika ghafla wakati watu tulitegemea kwamba angekuja kuja kufanya makubwa zaidiMbona ilikuwa headline sana mzee. Les alikuja kukiri mwishoni kama alikuwa anampenda sana manzi. Alikuwa anahojiwa na vyombo mbalimbali, kiufupi jamaa alivurugika fulani hivi....
Naam nakumbuka Ngoma kama Me & you ilitikisa sanaHuyu manzi alitolewa na Ryan Leslie, akaandikiwa hadi nyimbo zimegonga Billboard halafu akamwacha mshikaji akaenda kwa Diddy....
Beyonce tu ndiyo huwa namwonaga mjanja katika hawa celebrity wa kike. Alipima sana upepoo akaamua kutulia zake kumoja na bado mpaka leo anatamba kwenye muziki na anazidi kupata umaarufu...Angefika mbali ila sasa mzigo wa Diddy pamoja na umaarufu ulimpofusha macho asiweze kuona mbele
Mzee mwaka 2012 na 2013 aliachia album kali sana mbona ? Kuna ile The Black Mozart ni hatari tupuuuu.Aisee kweli alimtoa kwenye "maana ryan mnamo mwaka 2008s alikuwa yupo on top sana ... mara akazimika ghafla wakati watu tulitegemea kwamba angekuja kuja kufanya makubwa zaidi
ngoja nikaicheck ... ana ngoma moja hivi inaitwa addiction .. ilikuwaga inanimaliza mnoo AiseeMzee mwaka 2012 na 2013 aliachia album kali sana mbona ? Kuna ile The Black Mozart ni hatari tupuuuu.
hahaa huyu msomali habari za kuoa yeye hana habari nazo kabisa AiseeView attachment 902192
Huyu Msomali sio mtu mzuri kama alimuacha Kim Porter pamoja na kuzaa nae watoto watatu
sembuse malewa lewa Cassie?
Ile ya zamani sana mbona. Kwenye Hizi Album za Les is More na Black Mozart ametisha saanaa.ngoja nikaicheck ... ana ngoma moja hivi inaitwa addiction .. ilikuwaga inanimaliza mnoo Aisee
Haya ngoja nikazitafute hizoIle ya zamani sana mbona. Kwenye Hizi Album za Les is More na Black Mozart ametisha saanaa.
Ngoja ntakutumia nyimbo muda siyo mrefu nikitulia. Nadhani bado ninazo hizo AlbumHaya ngoja nikazitafute hizo
Mianaume tabia zinafanana tu! Jogoo huwaga haridhiki na tetea moja!
Mkuu hakuna uchawi hapo ni nizamu tu, kuanzia mlo na mazoezi. Japo ana hela ya kuwa na personal dietician na trainer hata wewe unaweza kujenga nizamu vizuri kwa kula kwa mpangilio.Anachonikwazaga huyu kaka ni kutokuzeeka.sijui anakula maharage ya wapi,nmezaliwa nimemkuta nakua hadi nazeeka Mzee baba yuko vilevile mnyamwezi wa watu. Pole yao
Tabia ndio shida. Sura maridhawaDidy alipata chombo yaani mtoto king'wasu kabisa