Mashao lole
JF-Expert Member
- Feb 23, 2016
- 474
- 481
Na wote tuseme AmenHata kama pesa ipo ila utaratibu wa kuwa na wanawake zaidi ya mmoja na kila mama ana mtoto wako yani wanawake kumi huwa hainingi akilini,mimi napenda watoto wangu wawe wa mke mmoja ili wapendane kutokana na misingi ya malezi yangu Mungu uzidi kunipa hamu hii nisijeteteleka na vimada
Ni kweli chief,haka kadada (Cassie Ventura) kalikuwa kazurii enzii hizo na hadi sasa kwa kweli bado karembo Aisee.Didy alipata chombo yaani mtoto king'wasu kabisa
Nilitaka kusema hiki kitu.....Diddy hana ubavu wa kumwaga CassieKwa historia yao ilivyo hawashindwi kurudiana tena
Diddy alimkatazaga kwa wivu wake...Naam chief ... lakini mahusiano yake na didy yalichangia mnoo kutunyima burudani sisi walaji wake
Yaani wamekaa muda mrefu sana almost 10 - 11 years.Nilitaka kusema hiki kitu.....Diddy hana ubavu wa kumwaga Cassie
Limefumaniwa likaachwa, ila Cassie atarudi ngoja hasira iishe kwanza
Wanadai kaichomoa!Juzi hapa tulisikia ana mimba ya Diddy! Imekuaje tena?!
Beyonce anajua kufosi asee...namvulia kofia mpaka kupata ndoa kwa Hov!Beyonce tu ndiyo huwa namwonaga mjanja katika hawa celebrity wa kike. Alipima sana upepoo akaamua kutulia zake kumoja na bado mpaka leo anatamba kwenye muziki na anazidi kupata umaarufu...
Hivi Kim Porter kazaa nae watoto watatu au wanne?...na wale mapacha wa kike si wa huyu?View attachment 902192
Huyu Msomali sio mtu mzuri kama alimuacha Kim Porter pamoja na kuzaa nae watoto watatu
sembuse malewa lewa Cassie?
Mama zao wana hela sasa?...Ukitaka kujua Diddy nyoko huwaga anawakusanyaga baby mamas wake, watoto na Cassie wanaenda kula bata katikati ya bahari huko hata mwezi....Cassie alivumilia mengi asee hata kama Sean ana hela!Yaani wamekaa muda mrefu sana almost 10 - 11 years.
Nimewaza kwa mpunga wa diddy ingekua ndiyo bongo huyo dada keshajizalia watoto hata 3 ili apate child support ya maana.
Hivi kwanini wale watoto wa Diddy hawakau na mama zao?
Dooh acha ammwage na asirudi tena!!Mama zao wana hela sasa?...Ukitaka kujua Diddy nyoko huwaga anawakusanyaga baby mamas wake, watoto na Cassie wanaenda kula bata katikati ya bahari huko hata mwezi....Cassie alivumilia mengi asee hata kama Sean ana hela!
Aisee ile album yake nilikuwa naipenda mno, hasa ule wimbo wake IS IT U?Aisee kweli alimtoa kwenye "maana ryan mnamo mwaka 2008s alikuwa yupo on top sana ... mara akazimika ghafla wakati watu tulitegemea kwamba angekuja kuja kufanya makubwa zaidi
Atarudi hana ujanja huyo....kazoea bata, na hela ndefuDooh acha ammwage na asirudi tena!!
Ndiyo hicho na mimi nimekiwaza!! Hela kweli shetaniAtarudi hana ujanja huyo....kazoea bata, na hela ndefu
Mbona Cassie ndo zake sio mara ya kwanza wala ya pili
Tatizo Diddy haoi sijui ni masharti?...yaaan ye kuingia madhabahuni ni mwikoDada wa watu kachoka kangoja uchumba weeeee holaa kajionea asepe zake mambo ya kuzalishwa ndoa unaishia kucheza kwaito ndio nini hata mie namsapoti bibie kusepa huo uchumba sugu kabisa ulizidi
Cassie kavimba hataree[emoji23] [emoji23] ....insta ni anapost mipicha ake kama hana akili nzuriNdiyo hicho na mimi nimekiwaza!! Hela kweli shetani
JLo alimtibuaga, kama kuoa angemuoa huyo, sijui alimfumania au ilikuwaje. Ila hawa watu wangeoana aisee couple yao ingekuwa ya dunia, hata ya Jay na Bee isingeona ndaniTatizo Diddy haoi sijui ni masharti?...yaaan ye kuingia madhabahuni ni mwiko
Ha ha ha mahusiano yao huwa nayafananisha ya shaa na master J....uchumba sugu...hawazai ila wapo miaka nenda rudiCassie kavimba hataree[emoji23] [emoji23] ....insta ni anapost mipicha ake kama hana akili nzuri
Watoa comments wanamzinguaje mi mbavu sina!
Kuna mmoja kamwambia " Cassie usikubali Diddy kachezea K yako miaka 11 bure mshtaki uchukue mahela hamna k ya bure ( kwa kiinglish lkn)[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...nimecheka balaa