Baada ya miaka 10 ya mahusiano bila ndoa. P-Didy na Cassie waachana rasmi

Baada ya miaka 10 ya mahusiano bila ndoa. P-Didy na Cassie waachana rasmi

Hata kama pesa ipo ila utaratibu wa kuwa na wanawake zaidi ya mmoja na kila mama ana mtoto wako yani wanawake kumi huwa hainingi akilini,mimi napenda watoto wangu wawe wa mke mmoja ili wapendane kutokana na misingi ya malezi yangu Mungu uzidi kunipa hamu hii nisijeteteleka na vimada
Na wote tuseme Amen
 
"Am lookin a lover not a friend, am looking for someone who takes me care, show me care......"

Is it you....bidada kibao alikitendea haki!...she's so cute tho!
 
Nilitaka kusema hiki kitu.....Diddy hana ubavu wa kumwaga Cassie

Limefumaniwa likaachwa, ila Cassie atarudi ngoja hasira iishe kwanza
Yaani wamekaa muda mrefu sana almost 10 - 11 years.

Nimewaza kwa mpunga wa diddy ingekua ndiyo bongo huyo dada keshajizalia watoto hata 3 ili apate child support ya maana.

Hivi kwanini wale watoto wa Diddy hawakau na mama zao?
 
Beyonce tu ndiyo huwa namwonaga mjanja katika hawa celebrity wa kike. Alipima sana upepoo akaamua kutulia zake kumoja na bado mpaka leo anatamba kwenye muziki na anazidi kupata umaarufu...
Beyonce anajua kufosi asee...namvulia kofia mpaka kupata ndoa kwa Hov!

R.Kelly, Diddy, Jay z, Nelly....hizi namba kupata ndoa kwao ni kama muujiza wa kugeuza kisogo kiwe uso!

Kudos kwa Bee...
 
Yaani wamekaa muda mrefu sana almost 10 - 11 years.

Nimewaza kwa mpunga wa diddy ingekua ndiyo bongo huyo dada keshajizalia watoto hata 3 ili apate child support ya maana.

Hivi kwanini wale watoto wa Diddy hawakau na mama zao?
Mama zao wana hela sasa?...Ukitaka kujua Diddy nyoko huwaga anawakusanyaga baby mamas wake, watoto na Cassie wanaenda kula bata katikati ya bahari huko hata mwezi....Cassie alivumilia mengi asee hata kama Sean ana hela!
 
Dada wa watu kachoka kangoja uchumba weeeee holaa kajionea asepe zake mambo ya kuzalishwa ndoa unaishia kucheza kwaito ndio nini hata mie namsapoti bibie kusepa huo uchumba sugu kabisa ulizidi
 
Dooh acha ammwage na asirudi tena!!
 
Aisee kweli alimtoa kwenye "maana ryan mnamo mwaka 2008s alikuwa yupo on top sana ... mara akazimika ghafla wakati watu tulitegemea kwamba angekuja kuja kufanya makubwa zaidi
Aisee ile album yake nilikuwa naipenda mno, hasa ule wimbo wake IS IT U?
 
Dada wa watu kachoka kangoja uchumba weeeee holaa kajionea asepe zake mambo ya kuzalishwa ndoa unaishia kucheza kwaito ndio nini hata mie namsapoti bibie kusepa huo uchumba sugu kabisa ulizidi
Tatizo Diddy haoi sijui ni masharti?...yaaan ye kuingia madhabahuni ni mwiko
 
Ndiyo hicho na mimi nimekiwaza!! Hela kweli shetani
Cassie kavimba hataree[emoji23] [emoji23] ....insta ni anapost mipicha ake kama hana akili nzuri

Watoa comments wanamzinguaje mi mbavu sina!

Kuna mmoja kamwambia " Cassie usikubali Diddy kachezea K yako miaka 11 bure mshtaki uchukue mahela hamna k ya bure ( kwa kiinglish lkn)[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...nimecheka balaa
 
Tatizo Diddy haoi sijui ni masharti?...yaaan ye kuingia madhabahuni ni mwiko
JLo alimtibuaga, kama kuoa angemuoa huyo, sijui alimfumania au ilikuwaje. Ila hawa watu wangeoana aisee couple yao ingekuwa ya dunia, hata ya Jay na Bee isingeona ndani
 
Cassie kavimba hataree[emoji23] [emoji23] ....insta ni anapost mipicha ake kama hana akili nzuri

Watoa comments wanamzinguaje mi mbavu sina!

Kuna mmoja kamwambia " Cassie usikubali Diddy kachezea K yako miaka 11 bure mshtaki uchukue mahela hamna k ya bure ( kwa kiinglish lkn)[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...nimecheka balaa
Ha ha ha mahusiano yao huwa nayafananisha ya shaa na master J....uchumba sugu...hawazai ila wapo miaka nenda rudi
 
Back
Top Bottom