Baada ya miaka 30 sababu inayowafanya wanawake kuzama kwenye dini sio wokovu. Kijana shtuka

Mbona kama mwanamke inaonekana ndio anapata hasara ila halalamiki
Nyie kutwa mnatoa mlio shida nini bwana mdogo🀣🀣
 
Yaani we jamaa kuhusu wanawake sijui unajionaga nani aiseeπŸ€£πŸ€£πŸ™Œ

Unavyochambua like wewe ndio uliwafinyanga
So wanawake wasio na ndoa wakifika 30yrs wasiende kanisani ?
Kanisani waende na vijana nao code wapewe
 
Mbona huku sioni wakilalamika
Nyie ndio mnalalamika sana
Au huku hawapo?
Society umefanya wanamke waonekane ni watu wema ndo maana huwezi kuta mwanamke anatoka nje kulia lia ya kuwa alikuwa Kahaba au alichezea usichana wake.. Wanajificha kuficha uchafu kupitia dini, kupitia waganga na kujifanya wema

Wanawake sijawahi kuwaelewa Kabisa because huwa ni wanakataa ukweli mpka kwa kulia machozii kabisa. Nimeshuhudia kijana anasingiziwa na mama wa kambo..

Kisa yule mama alikuwa mfia dini, na alikuwa malaya tu mtaani, ila akija kwa mume wake waliye kutana kanisani anajifanya mwema.

Nilikuwa mdogo na hizo pattern niliendelea kuziona growing up.... Najua nature ya mwanamke hasa mwongo,
 
Mbona kama mwanamke inaonekana ndio anapata hasara ila halalamiki
Nyie kutwa mnatoa mlio shida nini bwana mdogo🀣🀣
Tunawaamsha masimp. Jinsia me haiishii kwetu tu. Hata wadogo na watoto wetu wa kiume pia ni jinsia me. Tukikaa kimya kesho na kesho kutwa na wao wanaweza kuwa victims.
 
Sawa kijana
 
Tunawaamsha masimp. Jinsia me haiishii kwetu tu. Hata wadogo na watoto wetu wa kiume pia ni jinsia me. Tukikaa kimya kesho na kesho kutwa na wao wanaweza kuwa victims.
Mkuu nilikuwa na idea... Fanya uwezalo tengeneza hata namna uwe kwenye social media.. Aisee unapotential kubwa sana kwenye ku wake up simps na kuwa awareness vijana kuhusu wanawake
 
Shida ni kwamba hawaokoki kweli!

πŸ˜‚

Hii code imekuwa wazi sana nadhani tutafute nyingine!

Kuna usemi unasema hivi; ukitaka imani yako itetereke kaa karibu na overly-religious people!
Religion is a scam
Na wewe umesema ni mlokole plus sijui tukuweke kundi lipi?
 
Mbona huku sioni wakilalamika
Nyie ndio mnalalamika sana
Au huku hawapo?
Jamii imeshashtuka mwanamke sio malaika kama ikivyozoeleka zamani. Sasa hivi wanawake pia wanawajibishwa kwaiyo ni ngumu kuja public. Mfano zamani single mother akilalamika moja kwa moja mwanaume anaonekana villain. Sasa hivi single mother ajichanganye kuja na habari za nimetelekezwa, sijui baba ahudumihi mwanae atashambuliwa mwenyewe atajuta. Watu washajua single mother ni victim wa maamuzi mabovu aliyofanya mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…