Baada ya MOSSAD kufeli huko Iran, viongozi waandamizi wafukuzwa kazi

Baada ya MOSSAD kufeli huko Iran, viongozi waandamizi wafukuzwa kazi

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Posts
24,661
Reaction score
40,890
Mkurugenzi wa Mossad, Roman Gofman, amewaondoa maafisa wawili waandamizi wa shirika la ujasusi ambao walihusika kwa karibu katika kutengeneza mpango usiofanikiwa wa kuangusha utawala wa Iran, televisheni ya Israeli iliripoti Alhamisi.

Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Israel, mmoja wa maafisa hao alikuwa amehudumu tangu Desemba kama mkuu wa idara ya ujasusi ya Mossad, na mwingine alikuwa mkuu wa kitengo cha Iran cha shirika hilo.
IMG-20260602-WA0008-640x400.jpg

Mpango wa Mossad unaripotiwa kuwa na wazo la mashambulizi ya Israeli dhidi ya ngome za Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu kwenye mpaka wa Iran na Iraq, katika Kurdistan ya Iran. Mashambulizi hayo yalikusudiwa kufungua mlango kwa wapiganaji wa Kikurdi kuvuka kuingia Iran, na kushambulia miji ya Kikurdi kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.

Mossad ilitarajia maelfu ya Wakurdi kujiunga na wapiganaji, na kugeuka kuwa harakati ya umati ambayo ingeweza kufika Tehran yenyewe. Ilifikiriwa kwamba hii ingechochea mamilioni ya waandamanaji kuangusha utawala huo.

Ingawa mkuu wa CIA na waziri wa mambo ya nje walipinga mpango wa Netanyahu kama "wa kipuuzi", rais na washauri wake wengi walivutiwa na wazo kwamba uongozi wa Iran ungeweza kuangushwa baada ya kuharibu silaha zake za kijeshi.

Mwanzoni mwa vita mwezi Februari, Israel na Marekani zilifanya mashambulizi makali dhidi ya vikosi vya usalama vya Iran kaskazini magharibi mwa nchi hiyo katika juhudi za kurahisisha njia ya Wakurdi, lakini uvujaji wa taarifa hizo kwa vyombo vya habari, tishio la Uturuki, kuzimwa kwa maandamano feki, na wasiwasi miongoni mwa Wakurdi kupambana na nguvu ya IRGC ulisababisha mission hiyo kufeli.

=======

Mossad Director Roman Gofman has removed two of the spy agency’s most senior officials who were closely involved in developing an unsuccessful plan to topple the Iranian regime, Israeli television reported Thursday.

According to Channel 12 news, one of the officials had served since December as the head of the Mossad’s intelligence directorate, and the other was the head of the agency’s Iran division.

The network said the two were among the architects of a written operational plan to bring down the Islamic Republic with the help of Iran’s minority groups, encouraging revived mass protests to oust the regime

Prime Minister Benjamin Netanyahu reportedly discussed the plan when persuading US President Donald Trump to go to war in February against the Islamic Republic.

Security sources cited by the network said the two officials and Gofman had clashed from the outset, but stressed their departures were being carried out by mutual agreement as part of a broader reorganization of the Mossad and that both were expected to remain at the agency in other roles.
Get The Times of Israel's Daily Edition by email and never miss our top stories

The Mossad plan reportedly envisioned Israeli strikes on Islamic Revolutionary Guard Corps positions along Iran’s border with Iraq, in Iranian Kurdistan. The strikes were designed to open the door for Kurdish fighters to cross into Iran, according to The New York Times report, and push into Kurdish cities in the country’s northwest.

AFP__20260308__A2FZ7NQ__v1__HighRes__WarInMiddleEast-640x400.jpg

A female Kurdish fighter from the Iranian Kurdish armed faction Kurdistan Free Life Party (PJAK) passes a poster of Abdullah Ocalan, the jailed founder of the Kurdistan Workers’ Party (PKK), at a site near the Iraqi border with Iran in Iraq’s autonomous Kurdistan region, on March 8, 2026. (Photo by AFP)

The Mossad expected thousands of young Kurds to join the fighters, turning into a mass movement that could reach Tehran itself. It was further thought that this would help embolden a mass protest movement with millions of demonstrators to bring down the regime, according to multiple reports.

The Kurdish offensive was one of the key elements of the plan, which also reportedly envisaged installing former hardline president Mahmoud Ahmadinejad as the Iranian leader.

The New York Times also reported last month that Israel engaged in a multi-year effort to recruit Ahmadinejad, in a campaign that included a meeting with then-Mossad chief David Barnea on the sidelines of an academic conference in Hungary. Ahmadinejad’s office denied the story.

At the beginning of the war in February, Israel and the US did carry out heavy strikes against Iranian security forces — including regime officials, army bases, missile systems, police stations and Basij sites — in the country’s northwest in an effort to ease the Kurds’ path, but leaks to the media, lobbying by Turkey, and wariness among the Kurds themselves led Washington to pull the plug on the idea.

In addition to creating the conditions for regime change, Israel and the US sought to degrade the Iranian regime’s military capabilities and distance threats posed by Iran — including its nuclear and ballistic missile programs.

While Trump’s CIA chief and secretary of state would later characterize Netanyahu’s regime change prediction as “farcical” and “bullshit,” the president and many of his advisers were sold on the idea that Iran’s leadership could be taken out and that its military arsenal could be destroyed, according to a New York Times report in April.

As a multimedia journalist, my job is to take the quality, fact-based journalism produced by The Times of Israel newsroom and make it accessible across every platform — from Instagram posts to podcasts to short-form videos.

This is how many, especially young people, consume news these days. But misinformation is rampant on social media. Our team at ToI produces accurate, responsible short-form reporting on Israel and the Jewish world.

If you believe in the importance of factual social media journalism, please consider joining our reader support group, The Times of Israel Community. Your financial support is essential to sustain responsible multimedia reporting.
 
NB: Ni dhahiri Netanyahu alimuingiza chaka Trump kwa mission hii mbovu kuliko zote za Mossad na sasa wameanza kufukuzana wenyewe kuondoa aibu. Swali langu ni kivipi CIA ilipinga mpango huu ila Trump akachagua kuwaamini Mossad?

Na inakuwaje Mossad inayosifiwa kujua kila kitu kuhusu Iran ifeli kwa kiasi hiki? Ina maana haikujua capacity ya Iran, haikufahamu kuwa kuipiga Iran kwa mabomu kungewaunganisha IRGC na raia? Haikufahamu kutumia wakurdi kungeingiza Uturuki upande wa Iran?

Aisee hawa Mossad ni bure kabisa, wameingiza dunia kwenye crisis ya mafuta kwa mission iliyobuma.

Brother Depo
 
Ayatollah wa ujiji . Unataka kuaminisha umma kuwa mauaji ya Ayattolah Khamenei na mke wake sio mafanikio ya Mossad?
Wapi kwenye hii mission waliongelea kumuua Khamenei? Hii ni specific mission kuangusha utawala wa Iran kutumia maandamano, kuharibu silaha za IRGC, na wakurdi kupindua nchi ili waweke kibaraka wao ila ulifeli.

Bado IRGC iko madarakani na bado mpango wa nuclear unaendelea huko milima ya pickaxe na maeneo mengine. Hii ni intelligence failure however you put it
 
NB: Ni dhahiri Netanyahu alimuingiza chaka Trump kwa mission hii mbovu kuliko zote za Mossad na sasa wameanza kufukuzana wenyewe kuondoa aibu. Swali langu ni kivipi CIA ilipinga mpango huu ila Trump akachagua kuwaamini Mossad?

Na inakuwaje Mossad inayosifiwa kujua kila kitu kuhusu Iran ifeli kwa kiasi hiki? Ina maana haikujua capacity ya Iran, haikufahamu kuwa kuipiga Iran kwa mabomu kungewaunganisha IRGC na raia? Haikufahamu kutumia wakurdi kungeingiza Uturuki upande wa Iran?

Aisee hawa Mossad ni bure kabisa, wameingiza dunia kwenye crisis ya mafuta kwa mission iliyobuma.

Cc Proved OHB11 hearly Bwana Utam
Inashangaza kweli kweli...

Kiuhalisia Mossad shughuli zake nyingi huko Iran imekuwa ikisaidiwa sana na CIA (US), MI6 (UK), Australia (ASIS), New Zealand (NSIS) na Canada (CSE), ambao pia hujulikana kama 'Five Eyes ' haya mashirika yana Rasilimali nyingi mno kuliko Mossad (Fedha, Teknolojia,watu, connection n.k), hivyo Mossad huwategemea mno hawa Ili kufanikisha kazi zake iwe Iran,nchi za Ghuba au popote pale........sio kwamba Mossad hufanya hizo shughuli peke yake.

Hawa wote hawakuamini Taarifa za Netanyau na Mossad kuwa Iran ilikuwa dhaifu kupindukia sababu ya yale maandamano, sema Trump alisukumwa tu na 'Ego' yake akiamini kilichotokea Venezuela kingetokea na Iran Kumbe yale ni mazingira tofauti kabisa.

Tusubiri tuone kama wapiga kura wa Marekani watamuadhibu yeye na chama chake kilichoshindwa kumzuia kuanzisha hivi vita.
 
Wapi kwenye hii mission waliongelea kumuua Khamenei? Hii ni specific mission kuangusha utawala wa Iran kutumia maandamano, kuharibu silaha za IRGC, na wakurdi kupindua nchi ili waweke kibaraka wao ila ulifeli.

Bado IRGC iko madarakani na bado mpango wa nuclear unaendelea huko milima ya pickaxe na maeneo mengine. Hii ni intelligence failure however you put it
Where is Mojtaba Khamenei?
 
Hapo ndio ujue Mossad hawajawahi kufeli tangia enzi za operation Entebbe raid.
Imefeli mbona mission nyingi tu ikiwemo ya kumuua Rais Masoud Pezeshkian wa Iran, kuiba kilo 400 za enriched uranium kutoka Fordow, na hii mission ya kupindua nchi mbona wamefeli hadi wamefukuzana.

Ila failure kubwa kuliko zote ni lavon affair kule Misri ilifeli vibaya mnoo na agents wake wengi kufungwa na kuuwawa kwahiyo hawapo invicible.

Kuhusu Mojtaba ikumbukwe aliteuliwa baada ya kuwa ameshambuliwa na bomu lililomuua baba yake, sasa kama angekua amekufa kivipi wamteue kuwa Ayatollah wakati walikuwepo watoto kibao wa Khamenei wenye vigezo?

Haingii akilini
 
Operation inside iran? Usimention hivyo vifailure vidogo tu. Ulishafuatilia operation inside iran nini kilifanyika?
 
What happened to Yahya Sinwar?
 
Attachments

  • image_search_1786194319234.png
    image_search_1786194319234.png
    455.2 KB · Views: 17
Operation inside iran? Usimention hivyo vifailure vidogo tu. Ulishafuatilia operation inside iran nini kilifanyika?
Ndio operation inside Iran mbona assasination attempts kwa Rais Masoud pezeshkian zilikua nyingi ila ali-survive.
Screenshot_20260808_190624_Chrome.jpg

Hata Abbas Arraghchi alifanya interview juzi hapa na kueleza alipokua kikao walimpiga kombora baada ya majasusi wa Mossad kutonya kuna kikao na ali survive mpaka kesho.

Hapa sijaongelea mission zaidi ya 3 za Mossad kumuua General Ahmad Vahidi kwa kulipua jengo na kuua wayahudi huko Argentina ila tokea miaka ya 90 mpaka leo hawajafinikiwa kumuua.
Screenshot_20260808_191007_Chrome.jpg

Recent pia Mossad walitaka kumuua Arraghchi, Mohammed Ghalibaf, na Mohammed Zolghadr wakiwa huko Pakistan na pia Switzerland kwenye mazungumzo na USA . Ila dakika za mwisho wakabadili usafiri badala ya ndege hadi Tehran wakapanda treni na Mossad ikafeli.
Screenshot_20260808_191202_Chrome.jpg

Mossad sio invicible sijui nani aliwadanganya kuwa wanaweza kila kitu. Mbona wamefeli kuchukua kilo 400 za Uranium huko Fordo na isfahan? Hujawahi kujiuliza
 
What happened to Yahya Sinwar?
Hamas ni Militia same to Hezbollah na Houthi hizo ndio level za israel maana ni vikundi tu havina jeshi la anga, majini n.k ila Iran ni NCHI hao Israel HAWAJAWAHI pigana na NCHI yoyote bila msaada wa USA, aidha iran ndio nchi ya kwanza serious wanapigana nayo na umeona wamefeli na hapo wamekuja na USA.

We jiulize katika mipango yote inayovuja umewahi sikia Mossad au IDF inapanga kuvamia Iran kwa askari wake? Unadhani wanaogopa nini?
 
Shangaa maajabu Aya yaan hivi vijamaa vivaa vipedo ni empty set kabisa
Kwenye vita huwa kuna missions nyingi hata ya Ayatollah inajitegemea, sasa mada hii inazungumzia mission iliyofeli ya kupindua serikali na ndio maana hao ma director wawili wamefukuzwa. Sasa Mossad mpaka wanafukuza watumishi wao ina maana hawajui kama wamefeli ila nyie wayahudi wa Tandika ndio mna taarifa sahihi?

Kwanini mnapingana na facts?
 
At the beginning of the war in February, Israel and the US did carry out heavy strikes against Iranian security forces — including regime officials, army bases, missile systems, police stations and Basij sites — in the country’s northwest in an effort to ease the Kurds’ path, but leaks to the media, lobbying by Turkey, and wariness among the Kurds themselves led Washington to pull the plug on the idea.

In addition to creating the conditions for regime change, Israel and the US sought to degrade the Iranian regime’s military capabilities and distance threats posed by Iran — including its nuclear and ballistic missile programs.

While Trump’s CIA chief and secretary of state would later characterize Netanyahu’s regime change prediction as “farcical” and “bullshit,” the president and many of his advisers were sold on the idea that Iran’s leadership could be taken out and that its military arsenal could be destroyed, according to a New York Times report in April.
Hapo inaoenyesha wazi kabisa tunavyosema kila siku humu huyu pumbavu netanyau bila US hawezi chochote, na trump mpumbavu amejuta sasa kuingizwa chaka na sasa anataka kutoka lakini anaona ataaibika akichomoa mazima.
Na huu ndio ukweli hata kwenye kumuua ayatolla, kazi yote ilifanywa na US halafu haka kanyau kakajitwika kuwa ni yeye ndio kafanya hio kazi huku miyahudi ya buzwagi ikishangilia
 
Back
Top Bottom