Baada ya MOSSAD kufeli huko Iran, viongozi waandamizi wafukuzwa kazi

Baada ya MOSSAD kufeli huko Iran, viongozi waandamizi wafukuzwa kazi

Naona unaota ndoto huku unakula migebuka na ugali
Wewe ndio unaota, mie nakupa facts tu mfano ya USS liberty naona umekimbia.
USA was made by perscuted Jews who immigrated to USA from Europe
Acha uongo in-fact hao Nazis walio persecute wayahudi ndio walienda USA wakaleta mchango mkubwa kuliko hao wayahudi. Hivi unajua NASA ilianzishwa na Nazi scientists waliohusika na kuuwa wayahudi? So wapo wenye mchango mkubwa zaidi
 
Hawajafukuzwa kazi wameamishwa vitengo tu na si kufukuzwa kazi
Wamefukuzwa kazi kama directors, kwenye utumishi wa umma ndio kauli hutolewa kuwa "utapangiwa majukumu mengine" ila for the time being fact ni kwamba sio tena directors kwa kufeli Iran na ndio basis ya mada yangu.
 
Utumishi wa umma upi? Unaichukulia Israel kama hili bara la giza.
Hilo ni jambo la kawaida huko kwenye elite world, written mission waliopanga imefeli so wamehamishwa vitengo na si kufukuzwa kazi sio bara la giza Hilo mkuu .
Unadhani ni kina brittanica hao umbea wanauona kama intelligence!!
 
Magaidi na dini yenu ya ugadi
Netanyahu kawaweza
Dini inaingiaje hapa? Yaani Mossad wafukuzane wenyewe alafu lawama apewe Iran?? Upo serious kweli.

Huyo Netanyahu hana lolote ndio maana anakwepa kukanyaga nchi wanachama wa ICC maana aliambiwa akigusa tu anapigwa pingu.
 
Ayatollah wa ujiji . Unataka kuaminisha umma kuwa mauaji ya Ayattolah Khamenei na mke wake sio mafanikio ya Mossad?
Malengo ya CIA na Mossad yalikuwa ni regime change na hayo mauaji hayajasaidia kitu chochote
 
Back
Top Bottom