Baada ya MOSSAD kufeli huko Iran, viongozi waandamizi wafukuzwa kazi

Baada ya MOSSAD kufeli huko Iran, viongozi waandamizi wafukuzwa kazi

Hamas ni Militia same to Hezbollah na Houthi hizo ndio level za israel maana ni vikundi tu havina jeshi la anga, majini n.k ila Iran ni NCHI hao Israel HAWAJAWAHI pigana na NCHI yoyote bila msaada wa USA, aidha iran ndio nchi ya kwanza serious wanapigana nayo na umeona wamefeli na hapo wamekuja na USA.

We jiulize katika mipango yote inayovuja umewahi sikia Mossad au IDF inapanga kuvamia Iran kwa askari wake? Unadhani wanaogopa nini?
Six day war, What happened? Kwa kuwa wewe ni mchumi unajifanya hujui historia? Hezbollah na Hamas ni taasisi kubwa sana na mfadhili wao mkubwa alikuwa Ayatollah Ali Khamanei.
 
Hapo inaoenyesha wazi kabisa tunavyosema kila siku humu huyu pumbavu netanyau bila US hawezi chochote, na trump mpumbavu amejuta sasa kuingizwa chaka na sasa anataka kutoka lakini anaona ataaibika akichomoa mazima.
Na huu ndio ukweli hata kwenye kumuua ayatolla, kazi yote ilifanywa na US halafu haka kanyau kakajitwika kuwa ni yeye ndio kafanya hio kazi huku miyahudi ya buzwagi ikishangilia
Netanyahu hawezi kupambana na Iran bila US. Nachoshangaa ni kwanini Netanyahu asiende mwenyewe mpaka kila mara alazimishe USA iwasaidie?

Huwa natamani sana Israel waende wenyewe ili washike adabu once and for all na hii jeuri itaisha milele.
 
Inashangaza kweli kweli...

Kiuhalisia Mossad shughuli zake nyingi huko Iran imekuwa ikisaidiwa sana na CIA (US), MI6 (UK), Australia (ASIS), New Zealand (NSIS) na Canada (CSE), ambao pia hujulikana kama 'Five Eyes ' haya mashirika yana Rasilimali nyingi mno kuliko Mossad (Fedha, Teknolojia,watu, connection n.k), hivyo Mossad huwategemea mno hawa Ili kufanikisha kazi zake iwe Iran,nchi za Ghuba au popote pale........sio kwamba Mossad hufanya hizo shughuli peke yake.

Hawa wote hawakuamini Taarifa za Netanyau na Mossad kuwa Iran ilikuwa dhaifu kupindukia sababu ya yale maandamano, sema Trump alisukumwa tu na 'Ego' yake akiamini kilichotokea Venezuela kingetokea na Iran Kumbe yale ni mazingira tofauti kabisa.

Tusubiri tuone kama wapiga kura wa Marekani watamuadhibu yeye na chama chake kilichoshindwa kumzuia kuanzisha hivi vita.
Explosion of wireless pagers used by Hezbollah fighters?
 
Six day war, What happened? Kwa kuwa wewe ni mchumi unajifanya hujui historia?
Six day war marekani ilishiriki, ilikua inatumia meli za kivita kama USS liberty kupata ujasusi wa Misri, Syria na Jordan na kuwapa Israel ili wawatwange maadui.

Hata hiyo vita hao Israel walivamia wa kwanza baada ya kupewa intel na US kupitia CIA. ila kama wangeshambuliwa wa kwanza basi ingeshafutwa zamani sana.

Ni hivi hakuna vita Israel imepigana bila USA, hata leo hii hawana jeuri ya kupigana na Iran bila back up ya USA
 
Ayatollah wa ujiji . Unataka kuaminisha umma kuwa mauaji ya Ayattolah Khamenei na mke wake sio mafanikio ya Mossad?

Shangaa maajabu Aya yaan hivi vijamaa vivaa vipedo ni empty set kabisa

CIA Ilisaidia Kubainisha Mkutano wa Viongozi wa Irani. Kisha Israeli Ilishambulia.​

Mauaji ya kiongozi mkuu wa Iran na maafisa wengine wakuu wa Iran yalitokea baada ya ushirikiano wa karibu wa kijasusi kati ya Marekani na Israel, kulingana na watu wanaofahamu operesheni hiyo.


Mtazamo wa angani wa mandhari ya mijini yenye majengo mnene. Eneo kubwa la katikati limeharibiwa, limefunikwa na vifusi, huku moshi mweusi ukipanda.



Na Julian E. BarnesRonen BergmanEric SchmittnaTyler Pager
Machi 1, 2026

Muda mfupi kabla ya Marekani na Israeli kuwa tayari kuanzisha shambulio dhidi ya Iran, CIA ililenga eneo ambalo labda shabaha muhimu zaidi ilikuwa: Ayatollah Ali Khamenei, kiongozi mkuu wa nchi hiyo.

CIA ilikuwa ikimfuatilia Ayatollah Khamenei kwa miezi kadhaa, ikipata ujasiri zaidi kuhusu maeneo yake na mifumo yake, kulingana na watu wanaofahamu operesheni hiyo. Kisha shirika hilo likagundua kuwa mkutano wa maafisa wakuu wa Iran ungefanyika Jumamosi asubuhi katika eneo la uongozi katikati mwa Tehran. Kikubwa zaidi, CIA iligundua kuwa kiongozi mkuu angekuwa katika eneo hilo.

 
Six day war marekani ilishiriki, ilikua inatumia meli za kivita kama USS liberty kupata ujasusi wa Misri, Syria na Jordan na kuwapa Israel ili wawatwange maadui.

Hata hiyo vita hao Israel walivamia wa kwanza baada ya kupewa intel na US kupitia CIA. ila kama wangeshambuliwa wa kwanza basi ingeshafutwa zamani sana.

Ni hivi hakuna vita Israel imepigana bila USA, hata leo hii hawana jeuri ya kupigana na Iran bila back up ya USA
Naona unaota ndoto huku unakula migebuka na ugali. USA was made by perscuted Jews who immigrated to USA from Europe . What do you expect Ayattolah of Ujiji?
 
Alafu msikariri sio kila anayepinga wayahudi ni muislam. Mbona USA imejaa wakristo mbona huko New York na Michigan kina Mamdani na wenzake walishinda chaguzi ilihali wwalimpinga wazi Netanyahu?
Mandani na wenzake hawana akili kama hawa wavaa makobazi waliiokaliloshwa chuki
 
Netanyahu hawezi kupambana na Iran bila US. Nachoshangaa ni kwanini Netanyahu asiende mwenyewe mpaka kila mara alazimishe USA iwasaidie?

Huwa natamani sana Israel waende wenyewe ili washike adabu once and for all na hii jeuri itaisha milele.
The same difference. USA and Israel. Ayattolah wa ujiji tambua kuwa Wayahudi ndio wanaamua nani awe raisi USA.
 
Mkurugenzi wa Mossad, Roman Gofman, amewaondoa maafisa wawili waandamizi wa shirika la ujasusi ambao walihusika kwa karibu katika kutengeneza mpango usiofanikiwa wa kuangusha utawala wa Iran, televisheni ya Israeli iliripoti Alhamisi.

Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Israel, mmoja wa maafisa hao alikuwa amehudumu tangu Desemba kama mkuu wa idara ya ujasusi ya Mossad, na mwingine alikuwa mkuu wa kitengo cha Iran cha shirika hilo.
View attachment 3646165

Mpango wa Mossad unaripotiwa kuwa na wazo la mashambulizi ya Israeli dhidi ya ngome za Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu kwenye mpaka wa Iran na Iraq, katika Kurdistan ya Iran. Mashambulizi hayo yalikusudiwa kufungua mlango kwa wapiganaji wa Kikurdi kuvuka kuingia Iran, na kushambulia miji ya Kikurdi kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.

Mossad ilitarajia maelfu ya Wakurdi kujiunga na wapiganaji, na kugeuka kuwa harakati ya umati ambayo ingeweza kufika Tehran yenyewe. Ilifikiriwa kwamba hii ingechochea mamilioni ya waandamanaji kuangusha utawala huo.

Ingawa mkuu wa CIA na waziri wa mambo ya nje walipinga mpango wa Netanyahu kama "wa kipuuzi", rais na washauri wake wengi walivutiwa na wazo kwamba uongozi wa Iran ungeweza kuangushwa baada ya kuharibu silaha zake za kijeshi.

Mwanzoni mwa vita mwezi Februari, Israel na Marekani zilifanya mashambulizi makali dhidi ya vikosi vya usalama vya Iran kaskazini magharibi mwa nchi hiyo katika juhudi za kurahisisha njia ya Wakurdi, lakini uvujaji wa taarifa hizo kwa vyombo vya habari, tishio la Uturuki, kuzimwa kwa maandamano feki, na wasiwasi miongoni mwa Wakurdi kupambana na nguvu ya IRGC ulisababisha mission hiyo kufeli.

=======

Mossad Director Roman Gofman has removed two of the spy agency’s most senior officials who were closely involved in developing an unsuccessful plan to topple the Iranian regime, Israeli television reported Thursday.

According to Channel 12 news, one of the officials had served since December as the head of the Mossad’s intelligence directorate, and the other was the head of the agency’s Iran division.

The network said the two were among the architects of a written operational plan to bring down the Islamic Republic with the help of Iran’s minority groups, encouraging revived mass protests to oust the regime

Prime Minister Benjamin Netanyahu reportedly discussed the plan when persuading US President Donald Trump to go to war in February against the Islamic Republic.

Security sources cited by the network said the two officials and Gofman had clashed from the outset, but stressed their departures were being carried out by mutual agreement as part of a broader reorganization of the Mossad and that both were expected to remain at the agency in other roles.
Get The Times of Israel's Daily Edition by email and never miss our top stories

The Mossad plan reportedly envisioned Israeli strikes on Islamic Revolutionary Guard Corps positions along Iran’s border with Iraq, in Iranian Kurdistan. The strikes were designed to open the door for Kurdish fighters to cross into Iran, according to The New York Times report, and push into Kurdish cities in the country’s northwest.

AFP__20260308__A2FZ7NQ__v1__HighRes__WarInMiddleEast-640x400.jpg


A female Kurdish fighter from the Iranian Kurdish armed faction Kurdistan Free Life Party (PJAK) passes a poster of Abdullah Ocalan, the jailed founder of the Kurdistan Workers’ Party (PKK), at a site near the Iraqi border with Iran in Iraq’s autonomous Kurdistan region, on March 8, 2026. (Photo by AFP)

The Mossad expected thousands of young Kurds to join the fighters, turning into a mass movement that could reach Tehran itself. It was further thought that this would help embolden a mass protest movement with millions of demonstrators to bring down the regime, according to multiple reports.

The Kurdish offensive was one of the key elements of the plan, which also reportedly envisaged installing former hardline president Mahmoud Ahmadinejad as the Iranian leader.


The New York Times also reported last month that Israel engaged in a multi-year effort to recruit Ahmadinejad, in a campaign that included a meeting with then-Mossad chief David Barnea on the sidelines of an academic conference in Hungary. Ahmadinejad’s office denied the story.

At the beginning of the war in February, Israel and the US did carry out heavy strikes against Iranian security forces — including regime officials, army bases, missile systems, police stations and Basij sites — in the country’s northwest in an effort to ease the Kurds’ path, but leaks to the media, lobbying by Turkey, and wariness among the Kurds themselves led Washington to pull the plug on the idea.

In addition to creating the conditions for regime change, Israel and the US sought to degrade the Iranian regime’s military capabilities and distance threats posed by Iran — including its nuclear and ballistic missile programs.

While Trump’s CIA chief and secretary of state would later characterize Netanyahu’s regime change prediction as “farcical” and “bullshit,” the president and many of his advisers were sold on the idea that Iran’s leadership could be taken out and that its military arsenal could be destroyed, according to a New York Times report in April.

As a multimedia journalist, my job is to take the quality, fact-based journalism produced by The Times of Israel newsroom and make it accessible across every platform — from Instagram posts to podcasts to short-form videos.

This is how many, especially young people, consume news these days. But misinformation is rampant on social media. Our team at ToI produces accurate, responsible short-form reporting on Israel and the Jewish world.

If you believe in the importance of factual social media journalism, please consider joining our reader support group, The Times of Israel Community. Your financial support is essential to sustain responsible multimedia reporting.
Irani ni wanaume
 
Back
Top Bottom