Baada ya MOSSAD kufeli huko Iran, viongozi waandamizi wafukuzwa kazi

Six day war, What happened? Kwa kuwa wewe ni mchumi unajifanya hujui historia? Hezbollah na Hamas ni taasisi kubwa sana na mfadhili wao mkubwa alikuwa Ayatollah Ali Khamanei.
 
Netanyahu hawezi kupambana na Iran bila US. Nachoshangaa ni kwanini Netanyahu asiende mwenyewe mpaka kila mara alazimishe USA iwasaidie?

Huwa natamani sana Israel waende wenyewe ili washike adabu once and for all na hii jeuri itaisha milele.
 
Explosion of wireless pagers used by Hezbollah fighters?
 
Six day war, What happened? Kwa kuwa wewe ni mchumi unajifanya hujui historia?
Six day war marekani ilishiriki, ilikua inatumia meli za kivita kama USS liberty kupata ujasusi wa Misri, Syria na Jordan na kuwapa Israel ili wawatwange maadui.

Hata hiyo vita hao Israel walivamia wa kwanza baada ya kupewa intel na US kupitia CIA. ila kama wangeshambuliwa wa kwanza basi ingeshafutwa zamani sana.

Ni hivi hakuna vita Israel imepigana bila USA, hata leo hii hawana jeuri ya kupigana na Iran bila back up ya USA
 
Ayatollah wa ujiji . Unataka kuaminisha umma kuwa mauaji ya Ayattolah Khamenei na mke wake sio mafanikio ya Mossad?

Shangaa maajabu Aya yaan hivi vijamaa vivaa vipedo ni empty set kabisa

CIA Ilisaidia Kubainisha Mkutano wa Viongozi wa Irani. Kisha Israeli Ilishambulia.​

Mauaji ya kiongozi mkuu wa Iran na maafisa wengine wakuu wa Iran yalitokea baada ya ushirikiano wa karibu wa kijasusi kati ya Marekani na Israel, kulingana na watu wanaofahamu operesheni hiyo.





Na Julian E. BarnesRonen BergmanEric SchmittnaTyler Pager
Machi 1, 2026

Muda mfupi kabla ya Marekani na Israeli kuwa tayari kuanzisha shambulio dhidi ya Iran, CIA ililenga eneo ambalo labda shabaha muhimu zaidi ilikuwa: Ayatollah Ali Khamenei, kiongozi mkuu wa nchi hiyo.

CIA ilikuwa ikimfuatilia Ayatollah Khamenei kwa miezi kadhaa, ikipata ujasiri zaidi kuhusu maeneo yake na mifumo yake, kulingana na watu wanaofahamu operesheni hiyo. Kisha shirika hilo likagundua kuwa mkutano wa maafisa wakuu wa Iran ungefanyika Jumamosi asubuhi katika eneo la uongozi katikati mwa Tehran. Kikubwa zaidi, CIA iligundua kuwa kiongozi mkuu angekuwa katika eneo hilo.

 
Naona unaota ndoto huku unakula migebuka na ugali. USA was made by perscuted Jews who immigrated to USA from Europe . What do you expect Ayattolah of Ujiji?
 
Alafu msikariri sio kila anayepinga wayahudi ni muislam. Mbona USA imejaa wakristo mbona huko New York na Michigan kina Mamdani na wenzake walishinda chaguzi ilihali wwalimpinga wazi Netanyahu?
Mandani na wenzake hawana akili kama hawa wavaa makobazi waliiokaliloshwa chuki
 
Netanyahu hawezi kupambana na Iran bila US. Nachoshangaa ni kwanini Netanyahu asiende mwenyewe mpaka kila mara alazimishe USA iwasaidie?

Huwa natamani sana Israel waende wenyewe ili washike adabu once and for all na hii jeuri itaisha milele.
The same difference. USA and Israel. Ayattolah wa ujiji tambua kuwa Wayahudi ndio wanaamua nani awe raisi USA.
 
Irani ni wanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…