zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
- Thread starter
-
- #41
Wewe ndio unaota, mie nakupa facts tu mfano ya USS liberty naona umekimbia.Naona unaota ndoto huku unakula migebuka na ugali
Acha uongo in-fact hao Nazis walio persecute wayahudi ndio walienda USA wakaleta mchango mkubwa kuliko hao wayahudi. Hivi unajua NASA ilianzishwa na Nazi scientists waliohusika na kuuwa wayahudi? So wapo wenye mchango mkubwa zaidiUSA was made by perscuted Jews who immigrated to USA from Europe
Wamefukuzwa kazi kama directors, kwenye utumishi wa umma ndio kauli hutolewa kuwa "utapangiwa majukumu mengine" ila for the time being fact ni kwamba sio tena directors kwa kufeli Iran na ndio basis ya mada yangu.Hawajafukuzwa kazi wameamishwa vitengo tu na si kufukuzwa kazi
😆😆😆😆😆😆unatokea mapori ya wapi wewe mbulula
Eti US ilijengwa na machoko wa kiyahudi 😂
Utumishi wa umma upi? Unaichukulia Israel kama hili bara la giza.Wamefukuzwa kazi kama directors, kwenye utumishi wa umma ndio kauli hutolewa kuwa "utapangiwa majukumu mengine" ila for the time being fact ni kwamba sio tena directors kwa kufeli Iran na ndio basis ya mada yangu.
tuelezee kwanini hayo ni mafanikioAyatollah wa ujiji . Unataka kuaminisha umma kuwa mauaji ya Ayattolah Khamenei na mke wake sio mafanikio ya Mossad?
unaona hawajawahi kufeli kwasababu umechagua kuwa kipofu/kiziwi mbele ya hao vilaza mossadHapo ndio ujue Mossad hawajawahi kufeli tangia enzi za operation Entebbe raid.
Dini inaingiaje hapa? Yaani Mossad wafukuzane wenyewe alafu lawama apewe Iran?? Upo serious kweli.Magaidi na dini yenu ya ugadi
Netanyahu kawaweza
malengo makuu yalikuwa kuipindua jamhuri ya iran hayo ya kuwaua viongozi wao mbwembwe tu.Ayatollah wa ujiji . Unataka kuaminisha umma kuwa mauaji ya Ayattolah Khamenei na mke wake sio mafanikio ya Mossad?
Malengo ya CIA na Mossad yalikuwa ni regime change na hayo mauaji hayajasaidia kitu chochoteAyatollah wa ujiji . Unataka kuaminisha umma kuwa mauaji ya Ayattolah Khamenei na mke wake sio mafanikio ya Mossad?