Baada Ya Muda Kupita Nimeelewa Mo Alikuwa Anatoa Ujumbe Upi Na Kwa Nani , Na Alimaanisha nini...

100 others

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
10,825
Reaction score
38,702
Kuna clip Mo alikuwa anahojiwa akasema alishanunua Bugatti Chiron halafu akauza pasipo kuliendesha wala hata hakuliwasha hilo gari.

Mo anasema aliona hawezi ku afford gari linauzwa bei mbaya kiasi kile 4.5 Million Euros nadhani tax excluded..

Pesa aliyouza faida yake akanunua mashine za kuchimbia visima (rigs) zikarudi kuchimba visima Africa hakusema ni nchi gani...

Mo alipata taarifa kuna matajiri watoto wanaendesha hio chuma, alitoa ujumbe kwenye hio interview ambao wengi wetu tuliishia kutoa negative comment , mimi mmoja wao kwenye uzi wa mdau Mad Max >>>> Mo Dewji: Nilinunua Bugatti Chiron na kukaa nalo miezi minne na kuliuza bila ata kuliendesha wala kuliwasha!

Ukisikiliza hio interview utagundua story ya Bugatti ilitokea from nowhere ... na wengi tuliona jamaa anajikweza.

Huu ujumbe Mo alikuwa anamuambia mtu fulani indirect kwamba ni ushamba kuendesha gari la mabilioni wakati kuna changamoto nyingi Africa/Tanzania za kutatuliwa.

Nadhani hadi huyu jamaa kuongea vile na yeye ndiye tajiri namba moja Tanzania, kuna kitu kilimstua, Mo aligundua kuna vijana wadogo wana pesa wanalingana , wanakaribiana au pengine kumzidi.

Hivi tajiri kama Mo anasema alishindwa ku afford hilo gari, ila kuna vijana wamenunua Bugatti tatu.

Ukimsikiliza kwa makini ni kama alikua anatoa ujumbe kwa mtu fulani.

Kwanini Mo alisema hawezi ku afford hilo gari na tayari alishalinunua na baadae akaliuza ?

Ipo hivi Hilo gari licha ya kuwa na bei mbaya , utunzaji wake ni gharama sana, vipuri ndipo usiseme, mfano mdogo tu, ikitokea bahati mbaya likagonga mahala kwa sababu lina speed inafika 490 km/hr taa/headlights zikiharibika, gharama ya kununua taa zake sokoni ni milioni 409 au USD 164,000, gharama ambayo unanunua Land Cruiser jipya zero kilomita pale Totota Tanzania.

Au kwa wale wanaojua magari kuna ile sport car inaitwa Porsche 911 GTS unainunua mpya kwa hio hio gharama ya taa za Bugatti.

Wajuzi wanasema na gharama ya usafirishaji wa vipuri vyake si ndogo.

Hilo gari service yake lazima lisafirishwe kwenda Dubai, maana ndio sehemu ya karibu kwa service provider ambao wapo authorized na Bugatti wenyewe kufanya services.

Tofauti na hapo ni bugatti HQ Ufaransa watume engineers wao waje hadi ulipo wafanye service, kwenye website yao hio huduma wanaita Flying Doctors na ni ghali...

Screenshot 2025-09-01 142509.png

bugatti-chiron-headlights.webp

9c1fdda334abd20f468a65db466aee0e.jpg

Sasa first son wetu na rafiki yake wote kila mmoja analo la kwake.

Tuendelee kula ugali na sukuma wiki pembeni pilipili.
 
Kuna watu duniani wanaishi kama wako peponi na bado watarithi pepo ya huko ahera halafu kuna wengine pangu pakavu tia mchuzi wanaishi hapa duniani kama wako motoni na bado wataishi motoni milele na Lucifer
 
Kuna clip Mo alikuwa anahojiwa akasema alishanunua Bugatti Chiron halafu akauza pasipo kuliendesha wala hata hakuliwasha hilo gari.

Mo anasema aliona hawezi ku afford gari linauzwa bei mbaya kiasi kile 4.5 Million Euros nadhani tax excluded..

Pesa aliyouza faida yake akanunua mashine za kuchimbia visima (rigs) zikarudi kuchimba visima Africa hakusema ni nchi gani...

Mo alipata taarifa kuna matajiri watoto wanaendesha hio chuma, alitoa ujumbe kwenye hio interview ambao wengi wetu tuliishia kutoa negative comment , mimi mmoja wao kwenye uzi wa mdau Mad Max >>>> Mo Dewji: Nilinunua Bugatti Chiron na kukaa nalo miezi minne na kuliuza bila ata kuliendesha wala kuliwasha!

Ukisikiliza hio interview utagundua story ya Bugatti ilitokea from nowhere ... na wengi tuliona jamaa anajikweza.

Huu ujumbe Mo alikuwa anamuambia mtu fulani indirect kwamba ni ushamba kuendesha gari la mabilioni wakati kuna changamoto nyingi Africa/Tanzania za kutatuliwa.

Nadhani hadi huyu jamaa kuongea vile na yeye ndiye tajiri namba moja Tanzania, kuna kitu kilimstua, Mo aligundua kuna vijana wadogo wana pesa wanalingana , wanakaribiana au pengine kumzidi.

Hivi tajiri kama Mo anasema alishindwa ku afford hilo gari, ila kuna vijana wamenunua hizo Chiron tatu.

Ukimsikiliza kwa makini ni kama alikua anatoa ujumbe kwa mtu fulani.

Kwanini Mo alisema hawezi ku afford hilo gari na tayari alishalinunua na baadae akaliuza ?

Ipo hivi Hilo gari licha ya kuwa na bei mbaya , utunzaji wake ni gharama sana, vipuri ndipo usiseme, mfano mdogo tu, ikitokea bahati mbaya likagonga mahala kwa sababu lina speed inafika 490 km/hr taa/headlights zikiharibika, gharama ya kununua taa zake sokoni ni milioni 409 au USD 164,000, gharama ambayo unanunua Land Cruiser jipya zero kilomita pale Totota Tanzania.

Au kwa wale wanaojua magari kuna ile sport car inaitwa Porsche 911 GTS unainunua mpya kwa hio hio gharama ya taa za Bugatti.

Wajuzi wanasema na gharama ya usafirishaji wa vipuri vyake si ndogo.

Hilo gari service yake lazima lisafirishwe kwenda Dubai, maana ndio sehemu ya karibu kwa service provider ambao wapo authorized na Bugatti wenyewe kufanya services.

Tofauti na hapo ni bugatti HQ Ufaransa watume engineers wao waje hadi ulipo wafanye service, kwenye website yao hio huduma wanaita Flying Doctors na ni ghali...

Full interview. 👇

View: https://www.youtube.com/watch?v=NjPSQEsUudg&t=765s

View attachment 3461180

bugatti-chiron-headlights.webp

9c1fdda334abd20f468a65db466aee0e.jpg

Sasa first son wetu na rafiki yake wote kila mmoja analo la kwake.

Tuendelee kula ugali na sukuma wiki pembeni pilipili.

Watoto wa sa💯 na Angela kiziga sio shida zao...😭😭
 
Kila nchi ina usalama wa taifa hawa kazi yao pia kuangalia matumizi mabaya ya mali za nchi.

Ikifikia hawa jamaa hawashughuliki na mali za nchi hio nchi ipo mikononi mwa mafisadi na hao usalama wapo mfukoni mwa mkuu wa nchi.
 
Umewahi kusikia kuna mihimili inajitegemea kweli
 
Acha propaganda za kipumbavu,hiyo gari ya mtoto wa raisi ipo wapi?
 
Watu kama ninyi ni wa kutandikwa viboko hadharani kisha mfungiwe mawe makubwa mtupwe baharini maana ni hasara kwa taifa, wewe unataka uletewe ushahidi gani ili uamini kwamba hii nchi inaongozwa na mafisadi na matapeli wanaotumia kodi za wananchi na rasilimali za nchi, au unadhani hao viongozi watatoka hadharani waje wakiri kwamba ni kweli wanafanya hayo madudu hivi huwa mnalipwa kuwa wajinga na wapumbavu au ni nini
 
Lete ushahidi acha porojo

i
 
Lete ushahidi acha porojo

i
Matajiri wakubwa wanaofahamika Dar hakuna hata mmoja ana Bugatti, wasanii wakubwa hawana uwezo wa kununua hilo gari ...

Sasa hilo gari lililoonekana likivinjari mitaa ya Dsm ni la nani?
 
Kwahiyo kila gari ya kifahari

Back
Top Bottom