Baada Ya Muda Kupita Nimeelewa Mo Alikuwa Anatoa Ujumbe Upi Na Kwa Nani , Na Alimaanisha nini...

Hii gari barabara ya kuendeshea hapa bongo ni ipi mana ina ground clearance ndogo iko chini sana,na barabara zetu ziko hovyo sana..
ni bora mtu anunue helikopta binafsi au private jeti kuliko hii gari,kwenda kuikalisha foleni na barabara zetu zilivyo hasa kipindi cha mvua.(HATUNA HIZO BARABARA ZA KUENDESHEA).
 
Kwakweli kwa Tz hakuna barabara za kipita hii gari,hope aliyonayo anatembelea barabara za huko huko mtaani kwao ushuani.
 
Back
Top Bottom