Hii gari barabara ya kuendeshea hapa bongo ni ipi mana ina ground clearance ndogo iko chini sana,na barabara zetu ziko hovyo sana..
ni bora mtu anunue helikopta binafsi au private jeti kuliko hii gari,kwenda kuikalisha foleni na barabara zetu zilivyo hasa kipindi cha mvua.(HATUNA HIZO BARABARA ZA KUENDESHEA).