Wakuu leo bwana nikasema niushangae huu mji ambao hauna hela na maisha yakiwa makali mno.
Katika pita pita zangu nikakutana na binti mweusi pee yaani toto kiuno kama nyigu nywele kaziachia mgongoni hipsi kama mabinduki ya m23 jicho jeupeee tiii aisee.
Damu yangu ikawa ya moto mno ukizingatia kwamba huwa natekwa sana na wanawake weusi yaani awe mweusi peee.
Kwa muda mrefu sana sijakutana na mwanamke mzuri natural maana wengi kwa sasa wamekua wanatumia vitu ambavyo sio halisi ili kujipendezesha.
Nimefarijika sana.
Hongera wewe mwanamke mweusi mrembo hakika umeugusa moyo wangu.
View attachment 2490023
DuhWakuu leo bwana nikasema niushangae huu mji ambao hauna hela na maisha yakiwa makali mno.
Katika pita pita zangu nikakutana na binti mweusi pee yaani toto kiuno kama nyigu nywele kaziachia mgongoni hipsi kama mabinduki ya m23 jicho jeupeee tiii aisee.
Damu yangu ikawa ya moto mno ukizingatia kwamba huwa natekwa sana na wanawake weusi yaani awe mweusi peee.
Kwa muda mrefu sana sijakutana na mwanamke mzuri natural maana wengi kwa sasa wamekua wanatumia vitu ambavyo sio halisi ili kujipendezesha.
Nimefarijika sana.
Hongera wewe mwanamke mweusi mrembo hakika umeugusa moyo wangu.
View attachment 2490023
Halafu hajazungumzia hili. πππ ni dhahiri kaishia kufarijika tu kama asemavyo.Kama namba ujachukua hata umsifie vip ni bure
Wakuu leo bwana nikasema niushangae huu mji ambao hauna hela na maisha yakiwa makali mno.
Katika pita pita zangu nikakutana na binti mweusi pee yaani toto kiuno kama nyigu nywele kaziachia mgongoni hipsi kama mabinduki ya m23 jicho jeupeee tiii aisee.
Damu yangu ikawa ya moto mno ukizingatia kwamba huwa natekwa sana na wanawake weusi yaani awe mweusi peee.
Kwa muda mrefu sana sijakutana na mwanamke mzuri natural maana wengi kwa sasa wamekua wanatumia vitu ambavyo sio halisi ili kujipendezesha.
Nimefarijika sana.
Hongera wewe mwanamke mweusi mrembo hakika umeugusa moyo wangu.
View attachment 2490023
Dada tutafutaneHalafu hajazungumzia hili. πππ ni dhahiri kaishia kufarijika tu kama asemavyo.
Hao weusi huwa wanakuwa na joto zuri sana.View attachment 2490079
Weusi wa hivyo wa kwenye picha yako wa kisudan kusini mimi huwa haunivutiii,ukitaka demu nikuhonge hadi akili uwe na characters kama huyu kwenye pochs yangu...very attractive
Amefeli pakubwa mno alafu anakuja kutuma salamu jf.Halafu hajazungumzia hili. πππ ni dhahiri kaishia kufarijika tu kama asemavyo.
Kwanini sasa na ndio unapenda?Sijachukua mkuu.
Ahsante sana π€£Hongera wewe mwanamke mweusi mrembo hakika umeugusa moyo wangu
DahView attachment 2490079
Weusi wa hivyo wa kwenye picha yako wa kisudan kusini mimi huwa haunivutiii,ukitaka demu nikuhonge hadi akili uwe na characters kama huyu kwenye pochs yangu...very attractive
Bila picha huu Uzi ungekua batili......πWakuu leo bwana nikasema niushangae huu mji ambao hauna hela na maisha yakiwa makali mno.