Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Wakuu leo bwana nikasema niushangae huu mji ambao hauna hela na maisha yakiwa makali mno.
Katika pita pita zangu nikakutana na binti mweusi pee yaani toto kiuno kama nyigu nywele kaziachia mgongoni hipsi kama mabinduki ya m23 jicho jeupeee tiii aisee.
Damu yangu ikawa ya moto mno ukizingatia kwamba huwa natekwa sana na wanawake weusi yaani awe mweusi peee.
Kwa muda mrefu sana sijakutana na mwanamke mzuri natural maana wengi kwa sasa wamekua wanatumia vitu ambavyo sio halisi ili kujipendezesha.
Nimefarijika sana.
Hongera wewe mwanamke mweusi mrembo hakika umeugusa moyo wangu.