Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Mayala is Njaa..... Yoyote anayeshinikiza au anayefurahia Wamasai kuondoshwa mle huyu atakua Adui wa Mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhubiri 4:4Wanabodi
Kunapotokea mgogoro wowote na kutokea sintofahamu yoyote inayowaweka wananchi kwenye njia panda, waamini lipi, kama kinachoendelea Ngorongoro, independent media ikiripoti hali halisi ya kinachoendelea, kitu hicho kinachoripotiwa huwa ndio ukweli halisi.
Asubuhi hii nilikuwa naangalia habari kwenye TV, tukapelekwa mubashara eneo la Ngorongoro na kushuhudia kwa macho yetu in real time kwa kuona hali halisi ya kinachoendelea Ngorongoro, licha ya kushuhudia wakazi wa Ngorongoro wakipanda kwenye mabasi tayari kuanza safari ya kuhama Ngorongoro kwa hiyari,
bado unakuwa huamini kama ni kweli wanahama kwa hiyari, nikimaanisha wanaweza kuwa wanahama kwa shinikizo fulani la kichinichini au enticement ya aina fulani, lakini baada ya kumuona mwandishi wa habari Legendari Manyerere Jacton ambaye ni an independent journalist, kama mimi nilivyo, tena huyu ni mwandishi mkongwe wa rika langu, tunaitana ma Comred, hivyo Leo baada ya kumuona Comred Manyerere Jacton ambaye pia ni member wetu humu jukwaani, akisema kinachoendelea Ngorongoro asubuhi hii, na kuona ni kuamini, sasa ndio naiamini serikali yangu kuwa wakazi wa Ngorongoro wanahama kwa hiyari, bila shinikizo lolote na bila ya vurugu zozote.
Manyerere akiwa Ngorongoro, ameeleza jinsi anavyoshudia wakazi wa familia 20 za mwanzo, huko Ngorongoro zinavyohamishwa kutoka Ngorongoro na kuhamishiwa Handeni mkoani Tanga.
Wananchi hao pia wamehojiwa na kuuthibisha uhiari wao na kueleza mategemeo yao. Manyerere ataandamana nao hadi mwisho wa safari yao
Kunapotokea sintofahamu yoyote kati ya serikali na jamii, ni vema sana kutumia an independent media na Kuwatumia independent journalists wanaaminika zaidi na jamii kuliko maofisa wa serikali.
Hivyo sasa nawaomba tuiaminie serikali yetu, wakazi wa Ngorongoro wanahama kwa hiyari hakuna kulazimishwa kokote wala shinikizo lolote.
Paskali.
Wanabodi

Nimeangalia tarehe uliyojiunga JF,nimeona ni bora nikusamehe bure.Hii tabia ya wana siasa kusema uongo mfululizo ikiachwa iote mizizi bila kukemewa inaweza kuja kuleta maafa makubwa sana kwa taifa kwa kupandikiza chuki ndani ya jamii na kujikuta watanzania wazalendo wanawekwa pembeni na mafisadi ndiyo yanashika usukani wa kuongoza nchi yetu.
Kwa kuzingatia amri ya Mungu inayotutaka kutosema uongo wala kumshuhudia jirani yako uongo basi wanasiasa wafuatao wanatakiwa kujitokeza mbele ya jamii kutubu na kuwaomba radhi watanzania kwa kuwaaminisha uongo kabla ya ghazabu za mwenyezi Mungu hazijawashukia.
1. Zito Kabwe
Huyu alianza kwa kupinga ufufuaji wa shirika la ndege , akawatangazia watanzania kwamba ndege zinazonunuliwa na serikali ni mitumba hivyo hazitakuja kufanya kazi yoyote. Leo ndege hizo zimemaliza miaka 5 zikipiga kazi ya kusafirisha abiria ndani na nje ya nchi na yeye mwenyewe Zito Kabwe amekuwa mteja mkubwa wa ndege hizo.! Je ni lini Zito atatoka mbele ya jamii kukanusha uongo wake kwamba hizo ndege hazikuwa mitumba?
2. Tundu Lisu
Huyu alipinga serikali kuanzisha upya mazungumzo kuhusu mikataba mbalimbali ya madini iliyokuwa inanyonya nchi yetu. Lisu alijigeuza wakili wa kutetea Acacia na akawatisha watanzania kwamba watashitakiwa MIGA !, cha kushangaza kampuni ya Acacia walikubali matakwa ya serikali na kuunda kampuni mpya ya Twiga iliyopelekea mapato ya madini kupanda maradufu hapa nchini. Je Lisu akatubu lini kwamba aliwadanganganya watanzania?
3. Freeman Mbowe
Huyu aliwadanganya watanzania kwamba lazima wafanye lockdown ya Corona na chanjo ya Corona lazima iwe lazima Tanzania , alifikia hatua ya kuanza kufanya mikutano kwa njia ya mtandao lakini jioni akawa anaonekana bila barakoa kwenye viwanja vya bia, je alikuwa anamdanganya nani?
4. John Heche
Huyu alipinga ujenzi wa reli ya kisasa(SGR) akasema watanzania waamke hakuna kipande hata cha mita moja cha reli ya kisasa kitakachojengwa,lakini sasa kipande cha Dar -Dodoma kimeshakamilika na Heche bado hajatoka hadharani kufuta uongo wake!.
5. Nape Nnauye
Huyu alitumia kila njia kupinga ujenzi wa bawawa la kufua umeme la mwl Nyerere kwamba utaleta hatari kubwa kwa wakazi wa mikoa ya kusini, lakini ujenzi wa bwawa unaendelea na umefikia 70% lakini bado Nape hajajitoleza tena kuwafafanulia wananchi hatari walizozipata mpaka sasa kutokana na mradi huo kufikia 70%. Kutokujitokeza kwake kuainisha hizo athari maana yake alisema uongo na hatujui alikuwa anasema uongo ili watanzania wasichimbe bwawa lao kwa faida ya nani.
Mkuu kwani Ni Kaya ngapi zinapaswa kuhama toka ngorongoro,?Wanabodi
Kunapotokea mgogoro wowote na kutokea sintofahamu yoyote inayowaweka wananchi kwenye njia panda, waamini lipi, kama kinachoendelea Ngorongoro, independent media ikiripoti hali halisi ya kinachoendelea, kitu hicho kinachoripotiwa huwa ndio ukweli halisi.
Asubuhi hii nilikuwa naangalia habari kwenye TV, tukapelekwa mubashara eneo la Ngorongoro na kushuhudia kwa macho yetu in real time kwa kuona hali halisi ya kinachoendelea Ngorongoro, licha ya kushuhudia wakazi wa Ngorongoro wakipanda kwenye mabasi tayari kuanza safari ya kuhama Ngorongoro kwa hiyari,
bado unakuwa huamini kama ni kweli wanahama kwa hiyari, nikimaanisha wanaweza kuwa wanahama kwa shinikizo fulani la kichinichini au enticement ya aina fulani, lakini baada ya kumuona mwandishi wa habari Legendari Manyerere Jacton ambaye ni an independent journalist, kama mimi nilivyo, tena huyu ni mwandishi mkongwe wa rika langu, tunaitana ma Comred, hivyo Leo baada ya kumuona Comred Manyerere Jacton ambaye pia ni member wetu humu jukwaani, akisema kinachoendelea Ngorongoro asubuhi hii, na kuona ni kuamini, sasa ndio naiamini serikali yangu kuwa wakazi wa Ngorongoro wanahama kwa hiyari, bila shinikizo lolote na bila ya vurugu zozote.
Manyerere akiwa Ngorongoro, ameeleza jinsi anavyoshudia wakazi wa familia 20 za mwanzo, huko Ngorongoro zinavyohamishwa kutoka Ngorongoro na kuhamishiwa Handeni mkoani Tanga.
Wananchi hao pia wamehojiwa na kuuthibisha uhiari wao na kueleza mategemeo yao. Manyerere ataandamana nao hadi mwisho wa safari yao
Kunapotokea sintofahamu yoyote kati ya serikali na jamii, ni vema sana kutumia an independent media na Kuwatumia independent journalists wanaaminika zaidi na jamii kuliko maofisa wa serikali.
Hivyo sasa nawaomba tuiaminie serikali yetu, wakazi wa Ngorongoro wanahama kwa hiyari hakuna kulazimishwa kokote wala shinikizo lolote.
Paskali.
Pascal NjaaPaschal with all due respect,wewe sio independent journalist.Unayoyaandika huwa yanaipendelea CCM,hata wewe ulishakili kuwa wewe ni kada wa CCM.Mambo unayaona kwa macho ya CCM.
Kama wabunge na viongozi wengine wa serikali za mitaa wanatoa maoni tofauti kwanini nimuamini mwandishi mmoja? Vyombo vya habari ambavyo hadharani vilisema vipo huru sasa viende vikaripoti uhalisia.
Wengine hatujui kinachoendelea zaidi ya picha za kutisha za wananchi walioumizwa na askari kuuawa. Hili si issue za propaganda za kisiasa ni maisha ya watu!
Halafu haoni hata aibu kujiita hivyoPasiko naye anajiita indipendeti jonalizimu. Hahaha kweli kuzeeka kupo
Huo ndiyo ukweliJournalist yoyote aliewahi kutangaza nia ya kugombea nafasi yoyote ya kisiasa haswa ccm, uyo sio wa kumuamini katika makala ya issue kama hii ya Ngorongoro & Loliondo
Manyerere alikosa Ubunge 2020
Masikini Tanzania, kwanini tunaishi kwa imani?? Ee Mungu utukumbuke, Fanani mbona unakuwa kama hadhira??Wanabodi
Kunapotokea mgogoro wowote na kutokea sintofahamu yoyote inayowaweka wananchi kwenye njia panda, waamini lipi, kama kinachoendelea Ngorongoro, independent media ikiripoti hali halisi ya kinachoendelea, kitu hicho kinachoripotiwa huwa ndio ukweli halisi.
Asubuhi hii nilikuwa naangalia habari kwenye TV, tukapelekwa mubashara eneo la Ngorongoro na kushuhudia kwa macho yetu in real time kwa kuona hali halisi ya kinachoendelea Ngorongoro, licha ya kushuhudia wakazi wa Ngorongoro wakipanda kwenye mabasi tayari kuanza safari ya kuhama Ngorongoro kwa hiyari,
bado unakuwa huamini kama ni kweli wanahama kwa hiyari, nikimaanisha wanaweza kuwa wanahama kwa shinikizo fulani la kichinichini au enticement ya aina fulani, lakini baada ya kumuona mwandishi wa habari Legendari Manyerere Jacton ambaye ni an independent journalist, kama mimi nilivyo, tena huyu ni mwandishi mkongwe wa rika langu, tunaitana ma Comred, hivyo Leo baada ya kumuona Comred Manyerere Jacton ambaye pia ni member wetu humu jukwaani, akisema kinachoendelea Ngorongoro asubuhi hii, na kuona ni kuamini, sasa ndio naiamini serikali yangu kuwa wakazi wa Ngorongoro wanahama kwa hiyari, bila shinikizo lolote na bila ya vurugu zozote.
Manyerere akiwa Ngorongoro, ameeleza jinsi anavyoshudia wakazi wa familia 20 za mwanzo, huko Ngorongoro zinavyohamishwa kutoka Ngorongoro na kuhamishiwa Handeni mkoani Tanga.
Wananchi hao pia wamehojiwa na kuuthibisha uhiari wao na kueleza mategemeo yao. Manyerere ataandamana nao hadi mwisho wa safari yao
Kunapotokea sintofahamu yoyote kati ya serikali na jamii, ni vema sana kutumia an independent media na Kuwatumia independent journalists wanaaminika zaidi na jamii kuliko maofisa wa serikali.
Hivyo sasa nawaomba tuiaminie serikali yetu, wakazi wa Ngorongoro wanahama kwa hiyari hakuna kulazimishwa kokote wala shinikizo lolote.
Paskali.
Hatari sana Mkuu macho yako yanaona aiseeTusipende kusupport vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu kisa tunajipendekeza kupata vyeo kama I-dc, nk. Tuwe na huruma na utu jamani.