Elpaul
JF-Expert Member
- Jan 19, 2018
- 922
- 692
Mkuu Elli Kinachotuponza wengi hatujui tusimame wapi kwa wakati gani.Mayala is Njaa..... Yoyote anayeshinikiza au anayefurahia Wamasai kuondoshwa mle huyu atakua Adui wa Mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Elli Kinachotuponza wengi hatujui tusimame wapi kwa wakati gani.Mayala is Njaa..... Yoyote anayeshinikiza au anayefurahia Wamasai kuondoshwa mle huyu atakua Adui wa Mungu
Paschal hapo ulipo unaaminika?Wanabodi
Kunapotokea mgogoro wowote na kutokea sintofahamu yoyote inayowaweka wananchi kwenye njia panda, waamini lipi, kama kinachoendelea Ngorongoro, independent media ikiripoti hali halisi ya kinachoendelea, kitu hicho kinachoripotiwa huwa ndio ukweli halisi.
Asubuhi hii nilikuwa naangalia habari kwenye TV, tukapelekwa mubashara eneo la Ngorongoro na kushuhudia kwa macho yetu in real time kwa kuona hali halisi ya kinachoendelea Ngorongoro, licha ya kushuhudia wakazi wa Ngorongoro wakipanda kwenye mabasi tayari kuanza safari ya kuhama Ngorongoro kwa hiyari,
bado unakuwa huamini kama ni kweli wanahama kwa hiyari, nikimaanisha wanaweza kuwa wanahama kwa shinikizo fulani la kichinichini au enticement ya aina fulani, lakini baada ya kumuona mwandishi wa habari Legendari Manyerere Jacton ambaye ni an independent journalist, kama mimi nilivyo, tena huyu ni mwandishi mkongwe wa rika langu, tunaitana ma Comred, hivyo Leo baada ya kumuona Comred Manyerere Jacton ambaye pia ni member wetu humu jukwaani, akisema kinachoendelea Ngorongoro asubuhi hii, na kuona ni kuamini, sasa ndio naiamini serikali yangu kuwa wakazi wa Ngorongoro wanahama kwa hiyari, bila shinikizo lolote na bila ya vurugu zozote.
Manyerere akiwa Ngorongoro, ameeleza jinsi anavyoshudia wakazi wa familia 20 za mwanzo, huko Ngorongoro zinavyohamishwa kutoka Ngorongoro na kuhamishiwa Handeni mkoani Tanga.
Wananchi hao pia wamehojiwa na kuuthibisha uhiari wao na kueleza mategemeo yao. Manyerere ataandamana nao hadi mwisho wa safari yao
Kunapotokea sintofahamu yoyote kati ya serikali na jamii, ni vema sana kutumia an independent media na Kuwatumia independent journalists wanaaminika zaidi na jamii kuliko maofisa wa serikali.
Hivyo sasa nawaomba tuiaminie serikali yetu, wakazi wa Ngorongoro wanahama kwa hiyari hakuna kulazimishwa kokote wala shinikizo lolote.
Paskali.
Usimshirikishe Mungu kwenye hili, ni lenu wenyewe.Mayala is Njaa..... Yoyote anayeshinikiza au anayefurahia Wamasai kuondoshwa mle huyu atakua Adui wa Mungu
Wanabodi

Wakenya wanafurahia Ngorongoro ife kwa mbali ili mbuga yao ipate wateja kwa wingi.Wakenya wamejikuta ngorongoro yao full kubweka
Hapana, mimi ninasapoti waondoke Ngorongoro na siwezi kuwa adui wa Mungu. WARUMI 13:1-7 inatuambia tutii mamlaka iliyowekwa maana mamlaka zote hutoka kwa Mungu. Wamasai wa Ngorongoro wala hawana shida ya kuhama, wanahama kwa hiyari yao. Shida kidogo ilitokea tu pale Loliondo wakati wa kuweka alama za mipaka, na wananchi wameelimishwa wameelewa. Sijui ni kwa faida ya nani mnakuza sana haya mambo. Kuna watu wanatumiwa na mataifa ya nje kupotosha na kukuza ishu ya Loliondo.Mayala is Njaa..... Yoyote anayeshinikiza au anayefurahia Wamasai kuondoshwa mle huyu atakua Adui wa Mungu
Mnatumia dini kudumaza akili zenu....acheni ujinga kumuaibisha MUNGUHapana, mimi ninasapoti waondoke Ngorongoro na siwezi kuwa adui wa Mungu. WARUMI 13:1-7 inatuambia tutii mamlaka iliyowekwa maana mamlaka zote hutoka kwa Mungu. Wamasai wa Ngorongoro wala hawana shida ya kuhama, wanahama kwa hiyari yao. Shida kidogo ilitokea tu pale Loliondo wakati wa kuweka alama za mipaka, na wananchi wameelimishwa wameelewa. Sijui ni kwa faida ya nani mnakuza sana haya mambo. Kuna watu wanatumiwa na mataifa ya nje kupotosha na kukuza ishu ya Loliondo.
YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI
Kumbe wewe ni Mpuuzi kiasi hiki, huna akili kabisa, najuuuuta kusoma huu upupuKuna watu wanatumiwa na mataifa ya nje kupotosha na kukuza ishu ya Loliondo.
Na wewe nenda Loliondo ukashuhudie kinachojiri, ikiwezekana uandae makala.Manyerere akiwa Ngorongoro, ameeleza jinsi anavyoshudia wakazi wa familia 20 za mwanzo, huko Ngorongoro zinavyohamishwa kutoka Ngorongoro na kuhamishiwa Handeni mkoani Tanga.
Wewe n huruma zako unaona mazingira waishiyo wamasai ni sawa?Tusipende kusupport vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu kisa tunajipendekeza kupata vyeo kama I-dc, nk. Tuwe na huruma na utu jamani.
Nonsense! Mhimili wa 4 wote, aka pen pushers au waandishi wa habari you are all compromised kwanza kwa woga wa Magufuli ambao ni dhahiri haujawatoka na pili kwa mfumo haramu wa bahasha mliouzoea! Hofyooo!Wanabodi
Kunapotokea mgogoro wowote na kutokea sintofahamu yoyote inayowaweka wananchi kwenye njia panda, waamini lipi, kama kinachoendelea Ngorongoro, independent media ikiripoti hali halisi ya kinachoendelea, kitu hicho kinachoripotiwa huwa ndio ukweli halisi.
Asubuhi hii nilikuwa naangalia habari kwenye TV, tukapelekwa mubashara eneo la Ngorongoro na kushuhudia kwa macho yetu in real time kwa kuona hali halisi ya kinachoendelea Ngorongoro, licha ya kushuhudia wakazi wa Ngorongoro wakipanda kwenye mabasi tayari kuanza safari ya kuhama Ngorongoro kwa hiyari,
bado unakuwa huamini kama ni kweli wanahama kwa hiyari, nikimaanisha wanaweza kuwa wanahama kwa shinikizo fulani la kichinichini au enticement ya aina fulani, lakini baada ya kumuona mwandishi wa habari Legendari Manyerere Jacton ambaye ni an independent journalist, kama mimi nilivyo, tena huyu ni mwandishi mkongwe wa rika langu, tunaitana ma Comred, hivyo Leo baada ya kumuona Comred Manyerere Jacton ambaye pia ni member wetu humu jukwaani, akisema kinachoendelea Ngorongoro asubuhi hii, na kuona ni kuamini, sasa ndio naiamini serikali yangu kuwa wakazi wa Ngorongoro wanahama kwa hiyari, bila shinikizo lolote na bila ya vurugu zozote.
Manyerere akiwa Ngorongoro, ameeleza jinsi anavyoshudia wakazi wa familia 20 za mwanzo, huko Ngorongoro zinavyohamishwa kutoka Ngorongoro na kuhamishiwa Handeni mkoani Tanga.
Wananchi hao pia wamehojiwa na kuuthibisha uhiari wao na kueleza mategemeo yao. Manyerere ataandamana nao hadi mwisho wa safari yao
Kunapotokea sintofahamu yoyote kati ya serikali na jamii, ni vema sana kutumia an independent media na Kuwatumia independent journalists wanaaminika zaidi na jamii kuliko maofisa wa serikali.
Hivyo sasa nawaomba tuiaminie serikali yetu, wakazi wa Ngorongoro wanahama kwa hiyari hakuna kulazimishwa kokote wala shinikizo lolote.
Paskali.
Ubongo wako umejaa kinyesi, gongo na usaa, Nyambafu zako!hata wamaasai wanakiuka sheria kwa kung'ang'ania kuishi hifadhini kwani hilo eneo ni kwa ajili ya uhifadhi.ni lazima wananchi watii sheria vinginevyo hatua kali zichukuliwe zidi yao.muda wa kubembeleza haupo sababu waliishapewa nafasi na hawataki kuitumia.nn kinawalazimisha kukaa hifadhini wakati ardhi ni mali ya serikali na serikali inalitaka eneo lake kwa ajili ya uhifadhi.wapigwe tu. haki ni lazima ikaenda na wajibu.
Mkuu, Naskia ulipata degree baada ya miaka 10, embu fafanua kudogo ilikuwajeWanabodi
Kunapotokea mgogoro wowote na kutokea sintofahamu yoyote inayowaweka wananchi kwenye njia panda, waamini lipi, kama kinachoendelea Ngorongoro, independent media ikiripoti hali halisi ya kinachoendelea, kitu hicho kinachoripotiwa huwa ndio ukweli halisi.
Asubuhi hii nilikuwa naangalia habari kwenye TV, tukapelekwa mubashara eneo la Ngorongoro na kushuhudia kwa macho yetu in real time kwa kuona hali halisi ya kinachoendelea Ngorongoro, licha ya kushuhudia wakazi wa Ngorongoro wakipanda kwenye mabasi tayari kuanza safari ya kuhama Ngorongoro kwa hiyari,
bado unakuwa huamini kama ni kweli wanahama kwa hiyari, nikimaanisha wanaweza kuwa wanahama kwa shinikizo fulani la kichinichini au enticement ya aina fulani, lakini baada ya kumuona mwandishi wa habari Legendari Manyerere Jacton ambaye ni an independent journalist, kama mimi nilivyo, tena huyu ni mwandishi mkongwe wa rika langu, tunaitana ma Comred, hivyo Leo baada ya kumuona Comred Manyerere Jacton ambaye pia ni member wetu humu jukwaani, akisema kinachoendelea Ngorongoro asubuhi hii, na kuona ni kuamini, sasa ndio naiamini serikali yangu kuwa wakazi wa Ngorongoro wanahama kwa hiyari, bila shinikizo lolote na bila ya vurugu zozote.
Manyerere akiwa Ngorongoro, ameeleza jinsi anavyoshudia wakazi wa familia 20 za mwanzo, huko Ngorongoro zinavyohamishwa kutoka Ngorongoro na kuhamishiwa Handeni mkoani Tanga.
Wananchi hao pia wamehojiwa na kuuthibisha uhiari wao na kueleza mategemeo yao. Manyerere ataandamana nao hadi mwisho wa safari yao
Kunapotokea sintofahamu yoyote kati ya serikali na jamii, ni vema sana kutumia an independent media na Kuwatumia independent journalists wanaaminika zaidi na jamii kuliko maofisa wa serikali.
Hivyo sasa nawaomba tuiaminie serikali yetu, wakazi wa Ngorongoro wanahama kwa hiyari hakuna kulazimishwa kokote wala shinikizo lolote.
Paskali.
Huruma na utu upi unahitaji?Tusipende kusupport vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu kisa tunajipendekeza kupata vyeo kama I-dc, nk. Tuwe na huruma na utu jamani.
Kwani hao wa ubeberuni ndiyo hawako biased? Angalia propaganda zao kwenye vyombo vya habari vya magharibi kuhusu vita vya Ukraine ndiyo utajua hao unaowasifia hawana lolote.Independent Journalists wenyewe Akina Pasco Mayala?
Bado nitakuwa na mashaka. Labda waje kutokea nchi za dunia ya kwanza huko.