Baada ya Mwandishi Manyerere Jacton kueleza kinachoendelea Ngorongoro, sasa ndio naiamini Serikali, Wanahama kwa Hiyari

Baada ya Mwandishi Manyerere Jacton kueleza kinachoendelea Ngorongoro, sasa ndio naiamini Serikali, Wanahama kwa Hiyari

Waulize NCAA wale wamasai mlio wahamisha kwa hiari yao kwenda oldonyosambu wako wapi hadi muda huu?
 
Hako kamgogoro kanachochewa na inchi fulani. Unajua juhudi za rais kutafuta wawekezaji zinayakera baadhi ya mataifa jirani hapa East Africa.

Na hii ndo vita ya uchumi
Nshaijua hiyo nchi ni jirani zetu wakati mwingine watani zetu.Juzi raisi wao akiapishwa alimpa mama yetu hadhi kuwa ni shangazi wa Africa mashariki nilifarijika sana kwa heshima aliyopewa mama.
 
Back
Top Bottom