Baada ya Mwandishi Manyerere Jacton kueleza kinachoendelea Ngorongoro, sasa ndio naiamini Serikali, Wanahama kwa Hiyari

Mhubiri 4:4

Kisha nikarudi na kuona madhalimu yote yanayotendeka chini ya jua,

na tazama, machozi Yao WALIODHULUMIWA, ambao walikuwa hawana mfariji,

na upande wa wale WALIOWADHULUMU walikuwa na UWEZO. Amen
 

Kada wa CCM alieambulia kura moja pale Kawe.
 
Nimeangalia tarehe uliyojiunga JF,nimeona ni bora nikusamehe bure.
Ku paste na ku copy kitu hicho hicho kila uzi ambao hauhusiki, kunachosha sana na kutoa ladha ya uzi husika.
Tafadhali kwenye maisha yako, hasa ya mahusiano kwa mumeo,jitahidi sana usifanye ujuha huu.
Kuwa mbunifu na enenda kulingana na matukio husika dada.
 
Mkuu kwani Ni Kaya ngapi zinapaswa kuhama toka ngorongoro,?
 
UNESCO ndio wanataka wahame. UNESCO ambao probably ndio walikuwa wanawafadhili wanyama pamoja na Wamadai.
 
Kabla hata sijasoma, kwanini wewe ni MPUMBAVU sana? Sielewi huwa inawezekanaje baadhi ya watu kuwa WAPUMBAVU kiasi hiki! Nadhani kuna shida pahala
 
Kama wabunge na viongozi wengine wa serikali za mitaa wanatoa maoni tofauti kwanini nimuamini mwandishi mmoja? Vyombo vya habari ambavyo hadharani vilisema vipo huru sasa viende vikaripoti uhalisia.

Wengine hatujui kinachoendelea zaidi ya picha za kutisha za wananchi walioumizwa na askari kuuawa. Hili si issue za propaganda za kisiasa ni maisha ya watu!
 
Manyerere ni kada wa CCM kama makada wengine
 
Paskali huwa sielewi uko upande upi unauma na kupuliza!

Wakati wa nyuzi za Maasai kushambuliwa kwa kulazimishwa kuhama Ngorongoro sikumbuki kuona uzi wako!! Japo nikiri kuwa uko vizuri.

niliandika hapo kabla kuwa Maasai hawapendi kuhama Ngorongoro sababu kuu japo haisemwi ni kuwa watakosa pesa za utalii kama kuishi na wazungu kwa boma wanaojifunza utamaduni wao na watafiti hifadhini nao wanalipwa, kupiga picha na kurukaruka juu na kuimba kimasai na wazungu nao wanalipwa, kuuza shanga na shuka na maziwa na nyama nk.

My Take
Ni vizuri wakihamia Handeni kwa hiari na pale wanapohamia ndugu zetu Maasai nawaomba TANAPA na Waziri wa Maliasili wafike mapema pawekwe miundombinu ya mji wa kisasa wa kitalii (Maasai city) mimi naamini wazungu na sisi wenzao pia tunapenda Maasai culture maana sisi tumeshindwa kutunza mila zetu kama wao na tutaenda tu kujifunza utamaduni wa kimasai nao watapiga pesa walizozoea kupata Ngorongoro ambayo tumewapora!


Hapo sasa Maasai (shemeji zangu japo walinipora mke mmasai mwenzao kwa kukosa zizi la ng'ombe ) watakuwa wametendewa haki kuhamishwa na watafurahia sana.

Jamani mlio na mshahara serikalini mnaofanya maamuzi ya kuumiza wengine nawaomba mkumbuke duniani tunapita tu naomba muwe na huruma kwa wajasiriamali na MaasaI wasiojua kipato chao kwa mwaka, ukweli tozo zimezidi mno maisha ya sasa ni taiti sana kwa sekta binafsi nyie wafanya maamuzi hamjui tu jinsi watu wasio na mishahara kama Maasai wanavyoteseka.

Enyi viongozi waoneeni huruma japo kidogo Maasai people kwa kuwajengea mji wa kitalii uitwe "Handeni Maasai city" na kibao kiandikwe "Sasa unaingia mji wa kitalii wa Maasai! kiloriti na mtula inapatikana rafiki" Ashenalee"" (Ashenalee in Maasai means ahsante sana)
 
kwenye hili sakata la loliondo tuta iaminije hii serikali ya CCM wakati wiki iliyo pita tuu kiongozi wake kaongea uongo mbele ya bunge kuwa loliondo pako shwari na hari damu za watu zlikuwa zina mwagika ?
 
Manyerere alikosa Ubunge 2020
Masikini Tanzania, kwanini tunaishi kwa imani?? Ee Mungu utukumbuke, Fanani mbona unakuwa kama hadhira??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…