Baada ya Mwandishi Manyerere Jacton kueleza kinachoendelea Ngorongoro, sasa ndio naiamini Serikali, Wanahama kwa Hiyari

Paschal hapo ulipo unaaminika?
 

Whenever the Tanzanian government is a party to a dispute, there’s no such thing as independent media. A local journalist is either pro-government or anti-government; there’s nothing in between!
 
Mayala is Njaa..... Yoyote anayeshinikiza au anayefurahia Wamasai kuondoshwa mle huyu atakua Adui wa Mungu
Hapana, mimi ninasapoti waondoke Ngorongoro na siwezi kuwa adui wa Mungu. WARUMI 13:1-7 inatuambia tutii mamlaka iliyowekwa maana mamlaka zote hutoka kwa Mungu. Wamasai wa Ngorongoro wala hawana shida ya kuhama, wanahama kwa hiyari yao. Shida kidogo ilitokea tu pale Loliondo wakati wa kuweka alama za mipaka, na wananchi wameelimishwa wameelewa. Sijui ni kwa faida ya nani mnakuza sana haya mambo. Kuna watu wanatumiwa na mataifa ya nje kupotosha na kukuza ishu ya Loliondo.

YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI
 
Mnatumia dini kudumaza akili zenu....acheni ujinga kumuaibisha MUNGU
 
Manyerere akiwa Ngorongoro, ameeleza jinsi anavyoshudia wakazi wa familia 20 za mwanzo, huko Ngorongoro zinavyohamishwa kutoka Ngorongoro na kuhamishiwa Handeni mkoani Tanga.
Na wewe nenda Loliondo ukashuhudie kinachojiri, ikiwezekana uandae makala.
 
Nonsense! Mhimili wa 4 wote, aka pen pushers au waandishi wa habari you are all compromised kwanza kwa woga wa Magufuli ambao ni dhahiri haujawatoka na pili kwa mfumo haramu wa bahasha mliouzoea! Hofyooo!
 
Ubongo wako umejaa kinyesi, gongo na usaa, Nyambafu zako!
 
Mkuu, Naskia ulipata degree baada ya miaka 10, embu fafanua kudogo ilikuwaje
 
Tusipende kusupport vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu kisa tunajipendekeza kupata vyeo kama I-dc, nk. Tuwe na huruma na utu jamani.
Huruma na utu upi unahitaji?

Wakati tunapata uhuru nchi yetu ilikua na watu 12,000,000 leo tuko zaidi ya 60,000,000.
Kama unaambiwa hapo awali wakazi wa eneo lile walikua 8000 lakini leo wapo 100,000 plus hivi kama hawa watu wataachwa waendelee kuishi pale waendelee kuzaliana ni ipi hatma ya ngorongoro?

Zaidi ya nusu ya eneo la tz halijatumika,kuna sababu gani ya kuendelea kukaa hifadhini?

Mtu amepewa eneo,likawekwa na huduma za jamii,mpaka sasa serikali imeshajenga nyumba 101,unataka utu upi?

Ifike mahali ni bora ukanyimwa kura lakini ile hifadhi isalimike.
 
Independent Journalists wenyewe Akina Pasco Mayala?

Bado nitakuwa na mashaka. Labda waje kutokea nchi za dunia ya kwanza huko.
Kwani hao wa ubeberuni ndiyo hawako biased? Angalia propaganda zao kwenye vyombo vya habari vya magharibi kuhusu vita vya Ukraine ndiyo utajua hao unaowasifia hawana lolote.
 
Vile tunatengeneza propaganda kwenye TV,tunalazimisha kuwa tunabomoa nyumba mbele ya Camera😁😁😁
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…