Sax JF-Expert Member Joined Aug 16, 2015 Posts 3,578 Reaction score 6,740 Jun 21, 2022 #81 Waulize NCAA wale wamasai mlio wahamisha kwa hiari yao kwenda oldonyosambu wako wapi hadi muda huu?
NostradamusEstrademe JF-Expert Member Joined Jul 1, 2017 Posts 3,402 Reaction score 4,532 Oct 12, 2022 #82 Morogoro kaskazini said: Hako kamgogoro kanachochewa na inchi fulani. Unajua juhudi za rais kutafuta wawekezaji zinayakera baadhi ya mataifa jirani hapa East Africa. Na hii ndo vita ya uchumi Click to expand... Nshaijua hiyo nchi ni jirani zetu wakati mwingine watani zetu.Juzi raisi wao akiapishwa alimpa mama yetu hadhi kuwa ni shangazi wa Africa mashariki nilifarijika sana kwa heshima aliyopewa mama.
Morogoro kaskazini said: Hako kamgogoro kanachochewa na inchi fulani. Unajua juhudi za rais kutafuta wawekezaji zinayakera baadhi ya mataifa jirani hapa East Africa. Na hii ndo vita ya uchumi Click to expand... Nshaijua hiyo nchi ni jirani zetu wakati mwingine watani zetu.Juzi raisi wao akiapishwa alimpa mama yetu hadhi kuwa ni shangazi wa Africa mashariki nilifarijika sana kwa heshima aliyopewa mama.