CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,921
- 3,474
Ni kweli,ila kwa hii serekare ya awamu ya tano ukiweza kukwepa kulipa kodi kwepa tu maana wanatuumiza sana.Dawa ya deni ni kulipa na si vinginevyo
Dawa ya moto ni moto tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli,ila kwa hii serekare ya awamu ya tano ukiweza kukwepa kulipa kodi kwepa tu maana wanatuumiza sana.Dawa ya deni ni kulipa na si vinginevyo
Siku hizi hupewi pass kama una deni HESLB??Vipi ukitaka Passport ya kusafiria 😎😎
Mdhamini alikua baba.Hakuwa mdhamini wako wakati unajaza forms?
Kwa hili nipo upande wa raia. Unakusanya kodi kupitia mshahara wa mwananchi ili umuhudumie, unamuhudumia kwa kumpa mkopo mwanae asome, mwanae akimaliza anarudisha na fee endapo atachelewa. Ila ukichelewa kumlipa mshahara yeye au mafao ya mzazi wake hakuna fee anayokuchaji. Serikali yetu ipambane pia na haya mambo yanayomgusa mtu wa chini moja kwa moja.Dawa ya deni ni kulipa na si vinginevyo
Yeah same hereNdio maana mi silipi hilo deni lao na hawanipati ng'o.
Umewaepukaje?Yeah same here
Ili tu kukwepa deni la serikali?Achana na kuajiriwa, badili majina yako yote [emoji3]
Si ajabu Mwalimu Idd kafutiwa deni mazima ohooo [emoji16][emoji16][emoji16]Sijaona majibu yeyote ya maana kutoka loan board zaidi ya kumtisha iddy tu na kutuaminisha eti iddy ameelewa na atakuwa balozi....ameelewa nini kwenye yale malalamiko yake? Retention fees ndio kitu gani? kwani ule mkpo ni biashara? Nimrodi Mkono alituanzishia janga la kitaifa.
Jina nililokuwa natumia chuo sio hili nalotumia sasa, yaani yote yamebadilika..pia sipo kwenye ajira rasmi.Umewaepukaje?
HAPANA. Imetokea tu wala sikuwa nawazaIli tu kukwepa deni la serikali?
Guys, don't fools us around. Stop going around the bush.....tell us here in naked truth why salary slip shows 47+billion loan amount due? Why? Mnasema kinachoonekana kwenye loan statement
Ninayo, sijaajiriwa. Natumia TIN ya mama yangu na biashara zinasoma zake yeye. Wananipata wapi?
Vipi ukitaka Passport ya kusafiria 😎😎
Ukipata pesa lipa hilo deni. Utajisikia poa sana.HAPANA. Imetokea tu wala sikuwa nawaza
Huna akaunti ya benki?Mbona mi nimeandika nafuga kuku Vikindu, Mkuranga. Naishi Kijichi DSM na barua ya serikali ya mtaa nimeambatanisha.
Serikali yenyewe ipo wapi ya kumtafuta kila mdaiwa door to door ? Hii hii ya CCM?
Si ajabu Mwalimu Idd kafutiwa deni mazima ohooo [emoji16][emoji16][emoji16]
hamna ufafanuzi hapo,porojo tuBaada ya Mwl. Iddy wa Geita kufichua uonevu wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, Hatimaye Bodi wameamua watoke hadharani tena ni Jumapili [emoji116][emoji116][emoji116]...]
Kuna watumishi wanadai nauli za likizo za mwaka 2014, wakilipwa madeni wanalipwa fedha ileile hiyo value retention fee ni ya upande mmoja?Mie yaani hata sijawaelewa bado.....wakitaka twende sawa inabidi na madeni yote ambayo serikali inadaiwa yaani yale sugu nayo yawe na value retention fee....vinginevyo huu bado ni unyonyaji na uonevu wa hali ya juu[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]