Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Katika pitapita huko mtaa wa pili nimekutana na hawa wapendanao tena mmmh kweli mapenzi yana nguvu kuliko breakdown. Wastara aliwahi kuwa na uhusiano na huyu Bond kabla hajamkimbia na kwenda kufunga ndoa na mheshimiwa mbunge, ndoa ambayo sidhani kama ilimaliza mwezi ikavunjika.
Ushauri:
Bond tangaza ndoa chap chap, Wastara ni mwanamke anaependa ndoa kuliko kitu chochote, akitokea mtu hapo kabeba shela mkononi utakimbiwa.
Wastara na mheshimiwa mbunge siku ya ndoa yao
Wastara na bond, baada ya kurudisha majeshi