Baada ya ndoa kuvunjika, Wastara arudisha mpira kwa kipa "zilipendwa wake"

Baada ya ndoa kuvunjika, Wastara arudisha mpira kwa kipa "zilipendwa wake"

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
70,916
Reaction score
141,437
Katika pitapita huko mtaa wa pili nimekutana na hawa wapendanao tena mmmh kweli mapenzi yana nguvu kuliko breakdown. Wastara aliwahi kuwa na uhusiano na huyu Bond kabla hajamkimbia na kwenda kufunga ndoa na mheshimiwa mbunge, ndoa ambayo sidhani kama ilimaliza mwezi ikavunjika.

Ushauri:

Bond tangaza ndoa chap chap, Wastara ni mwanamke anaependa ndoa kuliko kitu chochote, akitokea mtu hapo kabeba shela mkononi utakimbiwa.

ndoa-ya-wastara.jpg

Wastara na mheshimiwa mbunge siku ya ndoa yao

Screenshot_2016-11-16-10-50-56.jpg

Wastara na bond, baada ya kurudisha majeshi

Screenshot_2016-11-16-10-51-11.jpg
 
Wastara nilikua namheshim kumbe nae pumbastiki tuuuuu me namsifu mwanamke aliefiwa Na mmewe akangonoka Kila uchwao n Bora alivojifia sajuki wa watu Allah amemuepushia huuu upuuuzi wa huyu dada
 
Wanaomlaumu Wastara bado huwa siwaelewi! Je, mnatarajia asingekuwa anagegedwa, au?! Kwa sababu ikiwa unashangaa Wastara kuolewa ni kwamba unashangaa Wastara kugegedwa... that's it! Manake ninachokiona kwa Wastara ni kuliko kugegedwa milele nje ya ndoa; yeye option yake ni kugegedwa ndani ya ndoa ingawaje ana gundu la ndoa zake kutodumu! Hapo ndipo watu wanatakiwa kuangalia... tatizo ni Wastara au wanaume anaofunga nao ndoa!!!
 
Kuna mlevi mmoja anaitwa Lulu Semagongo nadhani, ni Ex wa huyo James Bond wa bongo muvi aliwahi kumtuhumu huyo jamaa kwamba yupo addicted na Tigo kuliko papuchi, nahisi ndicho kilichomfanya Wastara agande hapo labda...... Just thinking loud
 
Back
Top Bottom