Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

Mkuu Jooohs,,umetupa somo katka maisha..Wengine tumeujua kiasi upande wa pili wa shilingi katika kusaka noti..Big up sana
 
Aisee! Pole sana kamanda.
Endelea na mapambano katika kuusaka udon kwa njia halali pasipo dhuluma ya nafsi, roho ama mali. Na Mwenyezi Mungu akutangulie katika mapambano. Siku Mwamba Aug. akitoka msaidie kwa chochote utakachobarikiwa,endapo utakuwa umeneemeka kidogo usiache kumuinua.

Usiache kwenda kumpa company na kumfariji hata kwa hizo dakka 3 zinatosha sana kwa yeye kufarijika.

Uwe na kiu ya mafanikio ila kiu hiyo ikatwe kwa njia zilizo halali.
Nikutakie ijumaa njema takatifu na yenye baraka...🙏🙏🙏🙏
 
Hongera sana mkuu... Kweli ulipambana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hongera kwa story tamu sana, pia kwa jinsi ulivyosimulia umeitendea haki

Kwani maswali mawili matatu naomba uyatolee ufafanuzi:-

Kwa jinsi nilivyosoma story yote inaonesha zile damu ilikuwa kazi ya mikono ya Mama Mwenye nyumba na ulipokuwa unaiona damu ulikuwa unastuka, lakini ulipokuwa unamwambia Augustino alikuwa hajali (hii kuna wakati ilinifanya nihisi yeye ndio mhusika). Je kwanini hili suala lilikuwa hata halimuumizi kichwa Augustino?

Hata kwenye kuhama nyumba, pamoja na kugundua kuwa mama ni kigagula Augustino alikuwa mzito kukubali ushauri wako wa kuhama. Lakini pia kuna siku Augustino alikimbizwa na yule Mother House, hakukueleza kwa undani? Yaani from no where huyo mama ilikuaje akawa anamkimbiza Augustino? (Hapa inanifanya niamini Augustino alikuwa ana mambo yake mengine ambayo wewe hukuyafahamu)

Mwisho, yule msaidizi wa mganga aliwahi kuwaambia kwamba msipovuna zile mbegu, zikivunwa na watu wengine mtaadhibiwa na mizimu, je kuna jambo baya lolote lililokupata, ukahisi ni mizimu ipo kazini?

Mkuu ukijibu hayo utakuwa umefanya jambo la maana sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thanks alot for your inspiration words Paula Paul

Ill do my best that's all I can promise

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukrani mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Millions 3 [emoji23][emoji23][emoji23] hii ndio alikuwa anazungushia biashara way back . Nashani hadi anatakoa itakuwa pesa ya kawaida sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…