Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

Dah pole sana mkuu, umepitia mengi sana.

Agustino ni mwamba, tena chuma.
Usimsahau mshikaji, ukimsahau mwamba utakua umemsaliti sana na itakugharimu.

Uww unaenda kumtembelea mshikaji hata kama inawezekana kwa mwaka mara mbili au tatu au hata zaidi ya hapo.

Muandalie mazingira jamaa akija akute mambo safi. Dah, hii stori mwishoni imesikitisha sana. ..lkn ndo maisha. Dunia uwanja wa vita..ni mapambani, ukileghea unapigwa nyundo unazima milele.

Usimsahau Augustino. Usimsahau Augustino. Usimsahau Augustino.

Mungu amlinde popote pale alipo.

Siku unaenda ni pm.
 
OK lakini ulifanikiwa kwenda mwanza au mzee alikubananisha?

Pia hiyo 2005 na mimi nilikuwa standard 3 nini kilikukuta hapo kati kati hadi uingie third year mwaka huu

Maana ingetakiwa umalize mwaka jana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitafanya hivyo mkuu

Najua mungu atatia baraka kila kitu kitaenda sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu Huyo Pusha alikua bwana aangu tukaachana Hivyo alikua anajua ratiba zangu..
Sikh Hiyo akamwaga Mboga ..yaani yule jamaa natamani nikutane nae nimchane Ila sidhani kama nitamkumbuka...
Duh,Ex wako hauwezi mkumbuka?. Mli-date siku moja au ni mambo ya enzi za Tanu?
 
Wapi huko?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaitwa critics mkuu......ni wazuri pia maana wanakujenga sio kila akusifu tu jamaa yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii story yako na ya jamaa mmoja humu anaitwa jerrybanks zinasisimua aisee, mmejifunza na tumejifunza, we won't make the same mistakes.
Dah mi naona kwa binadamu kuweza kuendana hayo mambo ya kigiza ni vigumu sana hata kama ukiweza huwezi jiita shupavu, yan unaambiwa chochote utakachokiona usiogope aisee asikuambie, mtu kila mtu nafikiri anakitu tu kitamuogopesha sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Oky ngoja niendelee nakumbuka siku ya mwisho nimeenda kumuona pale magereza nikiwa nimeshika mkate na vipande vya sabuni + wembe nikajua labda kidogo kule magereza kutakuwa na utaratibu mzuri wa kuongea na mfungwa asee kufika tuliruhusiwa raia kama 20 hivi kwa mkupuo eti tuongee na wafungwa wetu kwa zile kelele sikuweza kumsikia vizuri neno nililolisikia kutoka kwake ni MWANANGU ENDELEA KUKOMAA"


Dah huo utaratibu wa kuongea na wafungwa mbaya sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], Mungu ajaalie Agu atoke salama, wish tuanzishe kitu kwa ajili yake hasa kimsaidie Siku akitoka, walio karibu pia wajitahidi kwenda kumuona Mwamba, hata walio mbali pia wenye uwezo waende. Kwenye haya maisha uvumilivu ni kitu muhimu sana huku ukipambana na kumtegemea Mungu tu. Pambana mwenyewe, Tumia vipaji vyako, tengeneza connection zako vizuri.......fuata njia halali tu, dark side sio salama na hata ukitobolea huko basi tubu na urudi mstarini, usidumu huko, utaishia PABAYA


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mkuu andiko hili litakuwa limetoa fundisho kwa namna moja ama nyingine uzuri maneno yanadumu yatasaidia pia wengine hata siku zaa mbele

Pia hata wale watakao jitosa kupita njia hizo kidogo watakuwa na mwanga wa nini wategemee kukutana nacho.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…