Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

Mkuu asante kwa kuendelea kunijuza kila unapotoa.

Hizi mambo za chale hizi[emoji38][emoji38][emoji38] unaweza pata demu mgongo una chale kama cutting board

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usione mtu hana chanjo ukadhani ni mtakatifu

Unakosea sana zamani tulikuwa tunaona watu wengi wanaalama za chanjo sehemu tofauti tofauti lakini now hatuwaoni

Sii kwa sababu hawachanjwi hapana ni technologia ya uchanjaji imebadilika. Kama umenisoma vizuri nimeeleza kabla mganga hajakupiga chanjo lazima wembe aupasue utengeneze nchaa kali.

Wembe mmoja anaweza pasua hata vipande vinne sasa akiwa anapitisha mwilini nikama anakutoboa vitundu vidogo

Alama nilizokuwa nazo zote zimeisha tena ni miaka 5 imepita sehemu iliyokuwa najishitukia ni mbele ya kiwiko na ilesehemu kiganja cha mkono kinapo anzia lakini zote zilifutika kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • 20200407_160614.jpeg
    40.4 KB · Views: 34
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…