Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 1,018
- 2,366
Na hapa ushaanza kuwalalamikia walimu!! Kweli jina lako linasadifu yaliyomoNi balaa,
Watumishi wanakimbizana huko na mikopo mpaka mfumo umesizi
Nina wasi wasi na walimu ndio wamesababisha mfumo kufungwa maana
Dah
Eeh mzee hali ngumu.Hivi hii nyongeza watu wanaikopea kabla hata ya mshahara kuingia?
SAfi sana, huu mfumo umerahisisha mambo ya kiutumishiEeh mzee hali ngumu.
Sijaona uliposema kuwa chiba wenu ataongeza mshahara mara dufu na kivipi, nimeona tu lile neno la kwenye vijora......nrneMkiambiwa mkitoe chama chakavu madarakani hamtaki,kazi kusifia tu mara mitano tena mara anaupiga mwingi mara oktoba tunatiki ilihali mnaishi kwenye ufukara wa kutisha wakati ni watumishi wa umma nyinyi ndio mlitakiwa muwe na mshahara mkubwa kuliko hao majambazi wa nchi wanaojiita wanasiasa wasio na manufaa yoyote kwa nchi. NRNE
Kaka basi kitoe wewe kwani unakwama wapi?.. watanzania wapo 60M ukalalamikie watu wasiozid laki 5 kweli?Mkiambiwa mkitoe chama chakavu madarakani hamtaki,kazi kusifia tu mara mitano tena mara anaupiga mwingi mara oktoba tunatiki ilihali mnaishi kwenye ufukara wa kutisha wakati ni watumishi wa umma nyinyi ndio mlitakiwa muwe na mshahara mkubwa kuliko hao majambazi wa nchi wanaojiita wanasiasa wasio na manufaa yoyote kwa nchi. NRNE
Mfumo unawezesha hilo.Hivi hii nyongeza watu wanaikopea kabla hata ya mshahara kuingia?
Labda ni kwasababu bado wanabadilisha mishahara kwenye mfumo ndio maana wamelazimika kuufunga.Ni balaa,
Watumishi wanakimbizana huko na mikopo mpaka mfumo umesizi
Nina wasi wasi na walimu ndio wamesababisha mfumo kufungwa maana
Dah
HIi nzuri sana, imeondoa ukilitimba kazini. Wakati mwingine ilikua mtumishi anaombwa Rushwa na wale Signatory ili asainiwe fomu ya mkopo.Mfumo unawezesha hilo.
Ni kweli ila huu mfumo nao bado kuna vitu havijawekwa sawa kama kuuza madeni likiwemo hata deni la Bodi ya Mikopo.HIi nzuri sana, imeondoa ukilitimba kazini. Ilikua mtumishi wakati mwingine anaombwa Rushwa na wale Signatory ili asainiwe fomu ya mkopo.
Sawa kabisa, hopefully wataendelea kufanya system upgradeNi kweli ila huu mfumo nao bado kuna vitu havijawekwa sawa kama kuuza madeni likiwemo hata deni la Bodi ya Mikopo.
Kwanza Tumpongeze waliobuni mfumo huuNi balaa,
Watumishi wanakimbizana huko na mikopo mpaka mfumo umesizi
Nina wasi wasi na walimu ndio wamesababisha mfumo kufungwa maana
Dah
Duuu dada yangu unadharau sana yaana unamwita mwenzio chiba, daaaa kweli ya leo bado ya keshoSijaona uliposema kuwa chiba wenu ataongeza mshahara mara dufu na kivipi, nimeona tu lile neno la kwenye vijora......nrne