Baada ya "nyongeza" E-loan kwenye mfumo wa ESS umezidiwa na kupelekea kufungwa kwa muda

Baada ya "nyongeza" E-loan kwenye mfumo wa ESS umezidiwa na kupelekea kufungwa kwa muda

Haiwezekani, sasa nyongeza haijaingia salary slip ipi inayoonesha basic salary imeongezeka?! Vitu vingine tunapaswa kishirikisha halmashauri za bongo zetu kabla.
Unapata fresh tu.... Mfumo tu umezingua ....
 
Acha ujuaji wewe,kukaa kimya napo ni busara, Mimi mpaka sasa hivi nimeshaikopea nyongeza,sasa slip ipi unaongelea, tambua siku hizi mikopo inatolewa online
Hivi mkuu uko serious mfumo (e-mikopo) unafanya kazi huko kwako?!!! Kuweni serious wakuuuu
 
Mfumo unakupa kile ambacho kimeongezeka katika Makato kwa kuzingatia 1/3 haukupi ongezeko lote ....mpaka slip itapotoka...
Hilo nafahamu, nachotaka kujua ni kiasi kilichoongezeka kwenye hela unayoweza kukopea maana inaweza tupa picha ya ongezeko zima likoje.
 
Ni balaa,
Watumishi wanakimbizana huko na mikopo mpaka mfumo umesizi

Nina wasi wasi na walimu ndio wamesababisha mfumo kufungwa maana
Dah
Watumiaji wa ess wanaweza kuwa milioni ngapi hadi mfumo uzidiwe?
NB:Mfumo wa MPESA una watumiaji wengi kuliko ess
 
Haiwezekani, sasa nyongeza haijaingia salary slip ipi inayoonesha basic salary imeongezeka?! Vitu vingine tunapaswa kishirikisha halmashauri za bongo zetu kabla.
Watu wanachukua kabisa, kwenye madaraja watu wamekopa vizuri tu
 
Yaani Kuna watu ni Wapimbavu kweli ,hajui kuipata Hali hiyo ni jambo rahisi kwa mtu yoyote,wakati wowote ...Sembuse Lissu aliyepigwa Risasi ,kutokana na kutoa maoni Tofauti na Utawala....! Mungu anamuona huyo aliyemdhihaki Lissu!
Kuna bwana alikuwa anamsema vibaya bwana flani kuwa ana UKIMWI. Saa hii aliyekuwa ana msema vibaya mwezie na yeye anao UKIMWI.
Lolote lililopo hapa duniani linaweza kukupata muda wowote
 
Sijaona uliposema kuwa chiba wenu ataongeza mshahara mara dufu na kivipi, nimeona tu lile neno la kwenye vijora......nrne
Hata kumsikia akijadili maslahi ya Watumishi hajawahi yeye kazi yake ni kuponda Watumishi wa Umma tuu.

Ngoja aendelee kula tonetone huko lupango
 
Back
Top Bottom