Baada ya "nyongeza" E-loan kwenye mfumo wa ESS umezidiwa na kupelekea kufungwa kwa muda

Kaa kimya mkuu kuficha upopoma wako..
Mfumo ukishasoma huna haja ya salary slip..
Watu wamevuta mizigo toka majuzi
Sijaficha upopoma wangu baki tumeshindwa kuelewana sehemu ndogo tu. Walioweza kuchukua mikopo ni wale waliopandishwa madaraja while tunaongelea kuchukua mikopo baada ya mama kutangaza May mosi ongezeko. Je hii inawezekana vipi wakati hata mwezi wa kwanza wa mwaka mpya kifedha haujaingizwa bado?
 
Mfumo umeachia tayari huko ...na lugha ya mama yenu imeshaongezwa ... Mi nimejaribu nimeona deductible amount imeongezeka ....
 
Sijaficha upopoma wangu baki tumeshindwa kuelewana sehemu ndogo tu. Walioweza kuchukua mikopo ni wale waliopandishwa madaraja while tunaongelea kuchukua mikopo baada ya mama kutangaza May mosi ongezeko. Je hii inawezekana vipi wakati hata mwezi wa kwanza wa mwaka mpya kifedha haujaingizwa bado?
Nyongeza ikiongezwa inaonekana kwenye mfumo mapema sana hata akiongeza elfu mbili ukienda kwenye ESS unaona na unaweza kuikopea sio lazima mshahara uwe umetoka..
Kama hujaelewa pia sijui nikusaidieje
 
kwahiyo hiz bank zote zilizoko kwenye mfumo,kila moja inataka mkopo upitie kwenye acc zao,lah sivyo zoezi linaishia hapo.

ama kweli kila taasisi hii nchi imelala.
 
Mnazingua nyie watu wa mfumo, mnatukwamisha sana! Imagine leo e-Loan haifanyi kazi toka asubuhi
 
Back
Top Bottom