Baada ya "nyongeza" E-loan kwenye mfumo wa ESS umezidiwa na kupelekea kufungwa kwa muda

Baada ya "nyongeza" E-loan kwenye mfumo wa ESS umezidiwa na kupelekea kufungwa kwa muda

Ni mwendo wa kukusanya tu hela mpaka huyo Mama yenu Samia aniite baby, mwezi wa tatu nilikopa milioni 25 na hili ongezeko nakomba hela nyingine... mimi ndo yule mtumishi hela na bata zinamwagika utafikiri nimekua Rais wa mbinguni...
Unaenda unakopa hela halafu unajisifu, huna akili, Kuna wenzio hiyo 25m wanaipata Kwa allowances za mwaka mmoja tu bila mkopo
 
Mkiambiwa mkitoe chama chakavu madarakani hamtaki,kazi kusifia tu mara mitano tena mara anaupiga mwingi mara oktoba tunatiki ilihali mnaishi kwenye ufukara wa kutisha wakati ni watumishi wa umma nyinyi ndio mlitakiwa muwe na mshahara mkubwa kuliko hao majambazi wa nchi wanaojiita wanasiasa wasio na manufaa yoyote kwa nchi. NRNE
Walimchangia mamilioni akachukue fomu halafu ghafla hata fomu yenyewe hakununua. Alipita bila kupingwa
 
Hivi Sisiemu wanajisikiaje kufunga huu mfumo kwani hizo hela wanatoa bure?
Wafungue mfumo waache uhuni..


Hawa watu wa ESS ndio wale wahuni aliosema pole pole
 
Mkuu hayo maisha ya wengine hayanihusu mi yananihusu ya kwangu tu... Acha kuleta story za watu wengine kwenye story yangu.
Kama ni story yako mbona umeileta humu? uko na akili kweli?
Nyongeza yenyewe buku30
 
Back
Top Bottom