Baada ya "nyongeza" E-loan kwenye mfumo wa ESS umezidiwa na kupelekea kufungwa kwa muda

Baada ya "nyongeza" E-loan kwenye mfumo wa ESS umezidiwa na kupelekea kufungwa kwa muda

Hivi mbn ikitokea fault kwenye Mpese, tigopesa na wengine hushughulikiwa kwa haraka?
Leo siku ya ngapi au huko Tamaasemi hawana wataalamu wa kutosha?
 
HIi nzuri sana, imeondoa ukilitimba kazini. Wakati mwingine ilikua mtumishi anaombwa Rushwa na wale Signatory ili asainiwe fomu ya mkopo.

Hapo mtumishi anakopa M 5 ila analambwa rushwa ya laki 3 na wakati anaenda kukatwa mshahara kwa miaka 7+
Khaaa milion 5 ulipe kwa miaka 7+ maticha mna maisha magumu sana.
 
Back
Top Bottom