Baada ya "nyongeza" E-loan kwenye mfumo wa ESS umezidiwa na kupelekea kufungwa kwa muda

Baada ya "nyongeza" E-loan kwenye mfumo wa ESS umezidiwa na kupelekea kufungwa kwa muda

Duuu dada yangu unadharau sana yaana unamwita mwenzio chiba, daaaa kweli ya leo bado ya kesho
Yaani Kuna watu ni Wapimbavu kweli ,hajui kuipata Hali hiyo ni jambo rahisi kwa mtu yoyote,wakati wowote ...Sembuse Lissu aliyepigwa Risasi ,kutokana na kutoa maoni Tofauti na Utawala....! Mungu anamuona huyo aliyemdhihaki Lissu!
 
'kufungwa' baada ya 'kusizi' au 'kusizi' na 'kufungwa'
lakini #15 inaashiria haijatoka taarifa yoyote rasmi
 
1000275905.png
 
Hivi hii nyongeza watu wanaikopea kabla hata ya mshahara kuingia?
Haiwezekani, sasa nyongeza haijaingia salary slip ipi inayoonesha basic salary imeongezeka?! Vitu vingine tunapaswa kishirikisha halmashauri za bongo zetu kabla.
 
Hongera kwa kupata mshahara mkubwa kiongozo
Ukiona hivyo
Ni balaa. Watumishi wanakimbizana huko na mikopo mpaka mfumo umesizi. Nina wasi wasi na walimu ndio wamesababisha mfumo kufungwa maana
Dah
Sidhani kama wamesitisha, maana mabenki siku zote hufurahia watu kuchukua mikopo. Nahisi kuna shida katika baadhi ya components za mfumo wa ESS, maana hata salary slip ya mwezi uliopita inagoma kutoa

1752475113478.png
 
Hivi Kwa Mtumishi Huwezi Kuishi Bila Mikopo??
Serikali inafurahia sana mtumishi akikopa kuliko asipokopa...
Ukikopa unakuwa mnyenyekevu...yaani mambo ya kuhoji hoji yanapungua
 
Back
Top Bottom