Baada ya "nyongeza" E-loan kwenye mfumo wa ESS umezidiwa na kupelekea kufungwa kwa muda

Kaka basi kitoe wewe kwani unakwama wapi?.. watanzania wapo 60M ukalalamikie watu wasiozid laki 5 kweli?
Mwambie tuu mama tunae na tuna tamba nae hatuna Mpango wa kumtoa zaidi ya mi 5 tena maana amemwaga Ajira na misalario ya kuzidi.
 
Acha ujuaji wewe,kukaa kimya napo ni busara, Mimi mpaka sasa hivi nimeshaikopea nyongeza,sasa slip ipi unaongelea, tambua siku hizi mikopo inatolewa online
Nisibishane na kiande... Narudia .... Kinachoongezeka kwa Sasa kwenye e-loan ni uwezo wako wa kukopa tu ... Yaani kama ulikuwa umeshamaliza 1/3 na haukopesheki kwenye mfumo kama Kuna nyongeza mfano Mimi mwezi uliopita uliongezeka 50.. lakini kabla ya slip kutoka hauoni ila kwenye uwezo wa kukopa uliongezeka 15... Hivyo sikukopa Wala kurenew nikisubiri ongezeko la tamko ..maana kilichokuwa kimeongezeka ni normal increment... Halafu unakaza fuvu .... Punguza ujuaji
 
Katika kitu nilichojizuia na nashukuru Mungu amenisaidia ni kukopea Mshahara. Tangu nianze kazi nilikuwa naona mshahara mdogo, halafu naona watu wanakopa na kubaki almost bila mshahara. Wanaishi kwa shida na mwisho wa siku wanakatwa pesa nyingiiii (riba).

Nikaamua kuachana na hiyo njia. Todate miaka 20 down the lane sijawahi kukopa na maisha ni murua.
 
Rudi shule wewe,kaa kimya
 
Mkongwe kazini. Uzidi kujizuia.
 
Ukifa ni hasara kubwa sana maana mkopo Una bima
 
Acha tu ,badala ya kuwekeza kwa wafanyakazi SIRIKALI imewekeza kwa watu wachache na wananeemeka KWERI KWERI.
 
Rudi shule wewe,kaa kimya
Pole sana .... Wazazi wako waliuza ng'ombe wakapeleka ngo'ombe shule....huwezi ona ongezeko la mshahara kwenye mfumo kabla ya payroll haijaja kusainiwa na wakuu wa idara kwa ajili ya kuruhusu malipo ya mshahara na kama salary slip hazijatoka ..huwezi kuona ongezeko zaidi ya kile tu kinachoongezeka katika moja ya tatu unayoruhusiwa kukopa... Wadanganye wageni kazini....
 
Sawa kabisa, lakini Rudi shule mkuu
 
Back
Top Bottom