Umekaa unawaza kumer,ubongo wako imejaa takataka na mikopoKwa hiyo kumer unauza kwa wa zaidi ya elfu 30 au sio
Umekaa unawaza kumer,ubongo wako imejaa takataka na mikopoKwa hiyo kumer unauza kwa wa zaidi ya elfu 30 au sio
😄😄😄Oya kumekucha kule 😁😁😁
Umejaza Pepmis?Wakuu, Mfumo wa E Loan umefunguka, twendeni tukazoea maburungutu
Vipi Kuna nyongeza ya kiasi gani mkuu,Oya kumekucha kule 😁😁😁
Pepmis Haina tatizo Kwa sasa hivi Kwa sababu taasisi nyingi maafisa utumishi wanafanya tathminiUmejaza Pepmis?
Ebhanaa eeh ndo nashangaa inanigomea kwamba sina Pla kwenye Pepmis, hii inakuaje mkuu?Umejaza Pepmis?
Kamulize mkeo!.Vipi Kuna nyongeza ya kiasi gani mkuu,
My wife ni Mwalimu anapata tgts E
Mkuu zama mfumoni! Mapaja yamefunguka 😂😂Vipi Kuna nyongeza ya kiasi gani mkuu,
My wife ni Mwalimu anapata tgts E
Kuna nyongeza nzuri auMkuu zama mfumoni! Mapaja yamefunguka 😂😂
Chakata tu itaachia 😎Ebhanaa eeh ndo nashangaa inanigomea kwamba sina Pla kwenye Pepmis, hii inakuaje mkuu?
Anyway si swa na bure, kimfaa mtu chake 😁Kuna nyongeza nzuri au
- % ngapiAnyway si swa na bure, kimfaa mtu chake 😁
79,000Vipi Kuna nyongeza ya kiasi gani mkuu,
My wife ni Mwalimu anapata tgts E
Duh Ni kama 8% kazi ipo79,000
Hivi KUTOBOA ndio niaje yani?😀Yani kutoboa kimaisha kwa kutumia ajiraa ngumu sanaa mtu kaongezewa mkopo hata ajachukua hiyo hela tayari kakopaaaa.
Biashara za viongozi hizo tajiriKwani watumishi ni wangapi, nchi inakusanya shilingi, watu wakadhani huenda hayo marekebisho ya mfumo ni riba kupungua na kuwapeni ahueni watumishi!
Kilichotokea ni kwamba hata kile kiasi ungepata kabla ya mfumo kuzingua kwa sasa kimepungua zaidi baada ya mfumo kurejea! Inawashinda nini kuwakopesha watumishi kupitia hazina kuu kwa kanuni hizi zilizopo kwenye mabenki ya biashara?