Baada ya "nyongeza" E-loan kwenye mfumo wa ESS umezidiwa na kupelekea kufungwa kwa muda

Mnakopeka mishahara yenu kiasi kwamba hata muanze kuchukia kazi
Hii ni Conclusive Opinion, sio kila mtumishi aliyekopa hajafanya maendeleo.
Mtu akifanya maendeleo kupitia mkopo anachukiaje kazi?
 
Mnajenga nyumba, nyumba zenyewe haziishi
Mbona watumishi wengi tulikopa tukafungua biashara, biashara zilipo mature tukakopa tena kukuza zaidi biashara na sasa tuna enjoy kukuza Kipato na tukajenga mdogo mdogo kupitia mapato ya biashara.
Na this time around lazima tukope tena tufungue matawi mengine, Life Goes on hatusubirii Pension sisi.
 
Mkope mfungue matawi mengine wakati nyongeza yenyewe buku30?
 
Unabisha? 35% ni Kwa wenye kima Cha chini au unapata kima Cha chini?
Ni kweli, lakini inaenda inapungua kiasi kutokana na Daraja la mshahara.
Sasa mfano mtumishi ana basic salary ya M 1.2 akiongezewa hata 10% si ana 120k hapo. Baada ya makato akibakiwa cha kukopea 70k mbona Bank anapata kuanzia M 4.
Sasa kwa mtaji wa M 4 mtu si ana uwanda mpana wa kufungua biashara ya kumuingizia hata 10k per day.
 
Nani kakudanganya ni 10%?
 
Back
Top Bottom