Yaani Kuna watu ni Wapimbavu kweli ,hajui kuipata Hali hiyo ni jambo rahisi kwa mtu yoyote,wakati wowote ...Sembuse Lissu aliyepigwa Risasi ,kutokana na kutoa maoni Tofauti na Utawala....! Mungu anamuona huyo aliyemdhihaki Lissu!Duuu dada yangu unadharau sana yaana unamwita mwenzio chiba, daaaa kweli ya leo bado ya kesho
Watu wameshajua nyongeza kupitia eloan ya essHivi waraka wa ulushatoka!
Walimu hawahusiki!Ni balaa,
Watumishi wanakimbizana huko na mikopo mpaka mfumo umesizi
Nina wasi wasi na walimu ndio wamesababisha mfumo kufungwa maana
Dah
Duh nchi ya kukopa na kukopa daahNi balaa,
Watumishi wanakimbizana huko na mikopo mpaka mfumo umesizi
Nina wasi wasi na walimu ndio wamesababisha mfumo kufungwa maana
Dah
Nimevuta mkopo hapo juzi tu bila shida. Wakate chao nibaki na 1.5M yangu, inanitoshaNi balaa,
Watumishi wanakimbizana huko na mikopo mpaka mfumo umesizi
Nina wasi wasi na walimu ndio wamesababisha mfumo kufungwa maana
Dah
Duh kumbe ushachukua aisee,Nimevuta mkopo hapo juzi tu bila shida. Wakate chao nibaki na 1.5M yangu, inanitosha
Nimechukua, na pengine sio e-Loan, ni mfumo wa ESS kwa ukumla wake, ukiamua kuzingua hata PEPMIS hujazi siku hiyoDuh kumbe ushachukua aisee,
Haiwezekani, sasa nyongeza haijaingia salary slip ipi inayoonesha basic salary imeongezeka?! Vitu vingine tunapaswa kishirikisha halmashauri za bongo zetu kabla.Hivi hii nyongeza watu wanaikopea kabla hata ya mshahara kuingia?
Hongera kwa kupata mshahara mkubwa kiongozoNimevuta mkopo hapo juzi tu bila shida. Wakate chao nibaki na 1.5M yangu, inanitosha
Endelea kushangaa, watu walishachukua chao mapeeema ππHaiwezekani, sasa nyongeza haijaingia salary slip ipi inayoonesha basic salary imeongezeka?! Vitu vingine tunapaswa kishirikisha halmashauri za bongo zetu kabla.
Sijawahi kuwaza hata kidogo, kama ipo ipo tu. Ngoja kwanza wiki ijayo mama acheke then nifanye yangu. Alafu kumbuka nimeongelea ongezeko la mishahara aliyotangaza May mosi na si waliopandishwa madaraja.Endelea kushangaa, watu walishachukua chao mapeeema ππ
Ila naona laini ni ndefu sana, mwenyewe nangojea ngojea watu wapungue ππSija haja ya kuwahi kama ipo ipo tu. Ngoja kwanza wiki ijayo mama acheke then nifanye yangu.
Ukiona hivyoHongera kwa kupata mshahara mkubwa kiongozo
Sidhani kama wamesitisha, maana mabenki siku zote hufurahia watu kuchukua mikopo. Nahisi kuna shida katika baadhi ya components za mfumo wa ESS, maana hata salary slip ya mwezi uliopita inagoma kutoaNi balaa. Watumishi wanakimbizana huko na mikopo mpaka mfumo umesizi. Nina wasi wasi na walimu ndio wamesababisha mfumo kufungwa maana
Dah
Kaa kimya mkuu kuficha upopoma wako..Haiwezekani, sasa nyongeza haijaingia salary slip ipi inayoonesha basic salary imeongezeka?! Vitu vingine tunapaswa kishirikisha halmashauri za bongo zetu kabla.
Serikali inafurahia sana mtumishi akikopa kuliko asipokopa...Hivi Kwa Mtumishi Huwezi Kuishi Bila Mikopo??