Baada ya Ole Nasha kufariki ni wakati wa Mkataba wa bandari ya Bagamoyo kuwa wazi

Wewe level ya uelewa wako ni duni mno

Unachoongea na kilichoulizwa ni vitu viwili tofauti kabisa, unatoa vijikashifa vya kipumbavu kama ulivyo wewe
Wewe una level gani ya uelewa? Unataka kila mtu akubali kila uongo na uzushi unaozushwa kila akifa mtu basi huyo mtu kauliwa ili kina fulani wafanye ufisadi,je waliokufa wakati wa yule Bedui nao tusemeje? Usinipangie cha kuandika humu.
 
Natoa wito kwa wafuasi wa lile BEDUI lilokufa muacheni Mama afanye kazi badala ya kumzushia uongo kila kukicha,BEDUI keshakufa na harudi tena.
 
Hivi tukiombiwa tuonyeshe list ya vifo vya corona takwimu ipi?
 
Mkataba huo utupiliwe mbali kabisa. Tanzania mama yetu tuilinde
 
Jaribu kuruhusu kichwa chako kufanya kazi! Bandari ni mizigo, asilimia kubwa ya mizigo ni kutoka China, hivi bandari zingine zitatoa mizigo wapi? Ile ya Bagamoyo itakuwa ya China!
Kwamba bandari tulizo nazo zishajitosheleza kiufanisi na mkubwa?
Hakuna haja ya zingine

Open your mind.

Magufuli aliwaamimisha kitu kimoja ki baya sana
 
Ukiona hata kiongozi wetu mkuu naye Yuko huko basi ujue lipo tatizo kubwa Sana Tena Sana kwa nchi hii
Hakuna mkataba ambao uko wazi na hautakuja kutokea!!..Furahia sasa unaweza kutoa maoni ukiwa huru tofauti na miaka 5 iliyopita!!..Ungekua unafurahia tu kama Ndondocha!!
 

Walikataa Bandari ya Bagamoyo kuendelezwa na kukubali International Airport kujengwa CHATO!!!! Ni sawa hiyo?
 
Cheki jizi hili
 
Kwamba bandari tulizo nazo zishajitosheleza kiufanisi na mkubwa?
Hakuna haja ya zingine

Open your mind.

Magufuli aliwaamimisha kitu kimoja ki baya sana
Magufuli alijua Bongo viazi mviringo wapo wengi sana ndio maana hata alipodai kuokota vichwa vya treni bandarini bado walishangilia, Bongo raha sana.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ