Huyu kaua mifumo ya usimamizi ili yeye asimamie kila kitu jambo ambalo hataweza, in fact awamu hii upigaji ni mkubwa kuliko awamu zote.Sasa kama Rais ni mkali kiasi hiki lakini watu bado wanapiga mpaka ndani ya takukuru sa hizo zama za wana demokrasia je hali ilikuwaje sasa wakuu.
Upigaji umepungua sana awamu hiiHuyu kaua mifumo ya usimamizi ili yeye asimamie kila kitu jambo ambalo hataweza, in fact awamu hii upigaji ni mkubwa kuliko awamu zote.
Tofauti na awamu zingine, wapigaji wamekuwa wachache na ni wale ambao wana mnasaba naye hivyo hawaguswi na watu wengine hadi yeye agundue ama aamue kuwatumbua.
Sorry mm sijafurahishwa na usemi anatekeleza agizo la Rais mm naona kama anajivuwa wajibu wake kwanini yeye hajaona kuwa kuna shida? Well mm sijuwi protocal ila naona angeandika kamayeye ndio mtekelezaji maana hao watu wana report kwake sio kwa RaisTAKUKURU NG'ATA...
Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Brigedia Jenerali John Mbung'o, amewasimamisha kazi watumishi 9, ambao walihusika katika ujenzi na usimamizi wa majengo Saba ya Taasisi hiyo yaliyojengwa Chamwino, Mpwapwa, Ngorongoro, Manyoni, Masasi, Namtumbo na Ruangwa.
=====
Hapo jana katika Uzinduzi wa Jengo la Ofisi ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU-Chamwino) uliofanyika Jijini Dodoma, Rais Magufuli alisema jengo hilo halikuwa la yeye kwenda kufungua lakini pia gharama iliyotumika katika ujenzi ni ya juu sana.
Alisema Waziri Mkuu alimwambia nyumba hiyo yeye angejenga wa Milioni 60 huku Rais Magufuli mwenyewe akisema amejenga nyumba yenye ukubwa kama huo huko kwao kwa Milioni 40
Pia soma:
Ujenzi: Je, hii nyumba ya TAKUKURU Dodoma inafikia thamani tajwa ya Tsh. 143 milioni?
Rais hajafurahishwa na jengo la TAKUKURU
Mh. Magufuli na wateuliwa wake toka JWTZ aliowateua kusimamia taasisi mbalimbali nje ya jeshi kuweni macho wakati wote.
Kwa hulka ya binadamu watu waliokuwa kwenye hizo taasisi zingine wanaweza kutopenda namna wasivyo aminiwa na kuletewa mtu toka nje ya taasisi yao.
Wanaweza kuanza kuwatengenezea mizengwe wachafuke ili wanajeshi wasiaminiwe tena kama sasa.
Wateuliwa pigeni kazi mkiwa macho, muwe ACTIVE, PROACTIVE lakini kamwe msiwe REACTIVE inaweza kuwagharimu.
Vema kabisa maana rushwa inaweza ikawa kwa wachunguza rushwa.TAKUKURU NG'ATA...
Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Brigedia Jenerali John Mbung'o, amewasimamisha kazi watumishi 9, ambao walihusika katika ujenzi na usimamizi wa majengo Saba ya Taasisi hiyo yaliyojengwa Chamwino, Mpwapwa, Ngorongoro, Manyoni, Masasi, Namtumbo na Ruangwa.
=====
Hapo jana katika Uzinduzi wa Jengo la Ofisi ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU-Chamwino) uliofanyika Jijini Dodoma, Rais Magufuli alisema jengo hilo halikuwa la yeye kwenda kufungua lakini pia gharama iliyotumika katika ujenzi ni ya juu sana.
Alisema Waziri Mkuu alimwambia nyumba hiyo yeye angejenga wa Milioni 60 huku Rais Magufuli mwenyewe akisema amejenga nyumba yenye ukubwa kama huo huko kwao kwa Milioni 40
Pia soma:
Ujenzi: Je, hii nyumba ya TAKUKURU Dodoma inafikia thamani tajwa ya Tsh. 143 milioni?
Rais hajafurahishwa na jengo la TAKUKURU
Daah alisimama? Au tumbo lilikua zito ukichanganya na kupanik... Safari hii watu watacheua hivyo vyeo Kama Kamanda Hapo kaambiwa na minyota yote hiyo bado anashindwa kuchambua taarifaSi kweli,aliyeambiwa asimame na hilo tumbo lake ni jamaa mwingine wa takukuru anayehusika na mambo ya ujenzi.
Naona ameamka kutoka usingizini.....na ukute kwenye mgao alikuwepo sema mzee amesanuka ndio anajidai kuchukua hatua.
Kama umepungua, hawa anaowatumbua kila siku na kuwananga majukwaani unawasemeaje?Upigaji umepungua sana awamu hii
Yeye haelewi cha kufanya na ndio maana kasubiri hadi aaibishwe hadharani hivyo anasubiri hadi rais aseme ndio achukue hatua, na hao ndio asilimia kubwa ya wateule wa awamu hii.Sorry mm sijafurahishwa na usemi anatekeleza agizo la Rais mm naona kama anajivuwa wajibu wake kwanini yeye hajaona kuwa kuna shida? Well mm sijuwi protocal ila naona angeandika kamayeye ndio mtekelezaji maana hao watu wana report kwake sio kwa Rais
Uko sahihi kabisa Mkuu, ni rais pekee ndiye mwenye mamlaka ya kuunda tume.Vema kabisa maana rushwa inaweza ikawa kwa wachunguza rushwa.
Nielewesheni, hvii tume si unaundwa na Rais na wengine wanaunda kamati tuu au kuna mahala nimesahau kitu
Basi sawa .Nipo katika makundi yote matatu hapo.
Ahsante mkuu kwa uhakika huo.Uko sahihi kabisa Mkuu, ni rais pekee ndiye mwenye mamlaka ya kuunda tume.
Ndio maana tunasema hawa wateule wa rais wengi ni mabomu hasa hasa hawa anaowatoa kwenye majeshi, sijui anataka kumtisha nani anapowaleta kwenye taasisi za kiraia.
Je, kama hakuna waadilifu au uadilifu wao unatiliwa mashaka watu waliopo kwenye taasisi husika?Na ni kwa nini uweke watu kutoka kada nyingine kwenye senior positions?
Nijuavyo mimi, senior positions ni sehemu ya promotion anayopewa mtu baada ya uadilifu na experince kwenye mid-positions za kada husika.
Acha uongo mkuu usitufanye watoto hapa mifumo ipi ya kuzuia wizi iliyokuwepo kwenye awamu zilizo pita wewe? Si ndio hizo zama hadi Twiga wanakanatiwa uwanjani wanasafilishwa wazima wazima au sio wao mkuu?Huyu kaua mifumo ya usimamizi ili yeye asimamie kila kitu jambo ambalo hataweza, in fact awamu hii upigaji ni mkubwa kuliko awamu zote.
Tofauti na awamu zingine, wapigaji wamekuwa wachache na ni wale ambao wana mnasaba naye hivyo hawaguswi na watu wengine hadi yeye agundue ama aamue kuwatumbua.
Ni kweli kabisa.Hali ilikuwa Mbaya Sana , ujio wa Magufuli ulikua Maalum, na ndio maana wengine hatuachi kumsupport mpaka amalize awamu zake zote mbili.