Soma uelewe kabla hujajibu. Kwa hiyo kabla ya awamu hapakuwahi kuwa na mifumo ya kudhibiti wizi.Acha uongo mkuu usitufanye watoto hapa mifumo ipi ya kuzuia wizi iliyokuwepo kwenye awamu zilizo pita wewe? Si ndio hizo zama hadi Twiga wanakanatiwa uwanjani wanasafilishwa wazima wazima au sio wao mkuu?
Inauma sana mkuu.We unafikiri zile jeuri za unanijua mimi nani zilikuwa zinatokana na nini mkuu?
Ilifika wakati wakati mtu anaajiriwa lakini ndani ya miaka 4 ana mali za milioni 150 na mshahara wake ni milioni 1 kwa mwezi
Mkuu inakuwaje unasema awamu 2 wakati tuna hoja mezani huyu awe wa mileleHali ilikuwa Mbaya Sana , ujio wa Magufuli ulikua Maalum, na ndio maana wengine hatuachi kumsupport mpaka amalize awamu zake zote mbili.
Katika hiyo mifumo unayo itaka wewe kuliwa hakuna wa kuaminiwa tena humo, ni bora hiyo one man show unayo isema kuliko hiyo mifumo.Soma uelewe kabla hujajibu. Kwa hiyo kabla ya awamu hapakuwahi kuwa na mifumo ya kudhibiti wizi.
Suala la kutimiza wajibu ama kutotimiza ni jambo jingine ila nnacho sisitiza ni kuwa mifumo ilikuwepo ilikuwa ni suala la kuiimarisha sio kuleta one man show.
matangazo yanaamsha hali ya utendaji.Dam55 TAKUKURU ilikuwepo tangu enzi za Mkapa na wamekuwa wakitimiza wajibu wao kama kawaida. Tofauti ni kwamba hivi sasa matangazo yamekuzwa mno!
Katika hiyo mifumo unayo itaka wewe kuliwa hakuna wa kuaminiwa tena humo, ni bora hiyo one man show unayo isema kuliko hiyo mifumo.
Tulikuwa na umeme wa mgao hapa kila siku kumbe watu walikuwa wanafungulia maji makusudi kwenye mabwawa ya kufua umeme ili wauze majenereta yao, tangu Rais awaseme hadharani siku ile unaona mabadiliko tulio nayo kwa sasa.
Mpaka hapo huyo Mkurugenzi wa TAKUKURU hatufai na hapaswi kuendelea na madaraka makubwa aliyonayo maana hana tofauti na ROBOT hadi abustiwe. Rais ana majukumu mengi kwa maana hiyo asipombust ataendelea kufanya madudu. Mbungo OUT OUT OUTTAKUKURU NG'ATA...
Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Brigedia Jenerali John Mbung'o, amewasimamisha kazi watumishi 9, ambao walihusika katika ujenzi na usimamizi wa majengo Saba ya Taasisi hiyo yaliyojengwa Chamwino, Mpwapwa, Ngorongoro, Manyoni, Masasi, Namtumbo na Ruangwa.
=====
Hapo jana katika Uzinduzi wa Jengo la Ofisi ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU-Chamwino) uliofanyika Jijini Dodoma, Rais Magufuli alisema jengo hilo halikuwa la yeye kwenda kufungua lakini pia gharama iliyotumika katika ujenzi ni ya juu sana.
Alisema Waziri Mkuu alimwambia nyumba hiyo yeye angejenga wa Milioni 60 huku Rais Magufuli mwenyewe akisema amejenga nyumba yenye ukubwa kama huo huko kwao kwa Milioni 40
Pia soma:
Ujenzi: Je, hii nyumba ya TAKUKURU Dodoma inafikia thamani tajwa ya Tsh. 143 milioni?
Rais hajafurahishwa na jengo la TAKUKURU
Kwa nini hakuhoji gharama za ujenzi? Na hiyo ofisi ya TAKUKURU Chato alikuta mchalato wake wa ujenzi umeisha?Wakati anateuliwa, alikuta ujenzi ushaanza tayari
I agreeMpaka hapo huyo Mkurugenzi wa TAKUKURU hatufai na hapaswi kuendelea na madaraka makubwa aliyonayo maana hana tofauti na ROBOT hadi abustiwe. Rais ana majukumu mengi kwa maana hiyo asipombust ataendelea kufanya madudu. Mbungo OUT OUT OUT
Kwa sababu he is not a trained manager; same problem na bohari la afya unskilled CEO.Kwa nini hakuhoji gharama za ujenzi? Na hiyo ofisi ya TAKUKURU Chato alikuta mchalato wake wa ujenzi umeisha?